.....Vitabu vitakatifu vinasema, yoyote anyoaye denge amelaaniwaweka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
KANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Kwani Joti ni Mlawi?? That gospel was for the Leviticus and not for Lucas Mhaville.BTW do you know who were the Leviticus?Soma kitabu cha Wakorintho, waraka za Mtume Paulo kuhusu mavazi, kusuka na muonekano kwa ujumla mbele za Mungu.
Kuhusu kunyoa vibaya kama mtindo wa denge umekatazwa soma , Mambo ya Walawi 19:27.
Ndoa ni jambo Takatifu mbele za Mungu halipaswi kuchukuliwa kwa mizaha, ingalikuwa inaruhusiwa kukaa vyovyote mbele ya Kanisa basi hakukuwa na haja hiyo ndoa iingie Kanisani ili ifungwe wangeweza kufungia hata majumbani kwao.
Kuna code of ethics zinazotawala ktk mambo ya dini.
Sasa nywele ni mavazi??? Chunga sana msikuwa km mafarisayo, waosha mikono na kunawa miguu huku moyoni wakiwa wachafu hatari.Wamekosea sana ukizingatia kuna mabango ya mavazi yasiyo ruhusiwa hapo nje
Kwa kanisa katoliki,hiyo sio inshu,kwani hushangai hata.Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
Elewa mada hsitoe povu...Maadili yamemomonyoka makanisani kwetu wengi awajali yalio kwenye kitabu kitukufu...(Biblia)Jiheshimu acha kashfa. Thibitisha kwa hoja huo uhuni wa kanisa
Na huwa wanaenda kanisani pia...!! Sasa kama mnyoo tu inakuwa shida, hao lesbians na gays inakuwaje?Lesbians and gays ni kama ulemavu mwingine... Hatuwezi kuwatupa walemavu wetu, cha msingi tuendelee kuishinao kwa upendo wakweli. Nao waweza Pona nakuwa raia wema
Usomaji wa maandiko Matakatifu lazima utofautiane na usomaji wa maandiko mengine. Kwa uelewa wako unadhani kitabu cha Esta, Ruth, Hosea, Yoeli, Ezekiel, n.k hivyo navyo kwa mantiki yako vitakuwa vinazungumza juu ya hao watu tu bila kufundisha wengine?Kwani Joti ni Mlawi?? That gospel was for the Leviticus and not for Lucas Mhaville.BTW do you know who were the Leviticus?
I ain't no a damn believer.I just challenged what you believe dude.Usomaji wa maandiko Matakatifu lazima utofautiane na usomaji wa maandiko mengine. Kwa uelewa wako unadhani kitabu cha Esta, Ruth, Hosea, Yoeli, Ezekiel, n.k hivyo navyo kwa mantiki yako vitakuwa vinazungumza juu ya hao watu tu bila kufundisha wengine?
Kwa ufupi kitabu cha walawi kilikuwa kinawahusu walawi na maonyo kwa watu wengine juu ya kuenenda vyema mbele za Mungu wao.
Wao ndio walikuwa wanasimamia usafi wa kanisa kiroho, ikiwa ni pamoja na kutoa makatazo kwa mambo yanayomchkiza Mungu.
Endelea kushupaza shingo, ninachojua, katika mambo ya kiroho mtu ashikiwi bakora ili apelekwe ktk ukweli wa neno bali hiyo ni kazi ya ROHO MTAKATIFU.
Pamoja na kuwa mimi ni shabiki mkubwa wa JOTI...Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
Biblia imekataza kunyoa Denge.weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Mkuu ni wakati huu wa Neema tunaendelea kuwaonya wabadili tabia zao lakini watambue wasipobadilika wataingia ktk jehanum ya moto.Lesbians and gays ni kama ulemavu mwingine... Hatuwezi kuwatupa walemavu wetu, cha msingi tuendelee kuishinao kwa upendo wakweli. Nao waweza Pona nakuwa raia wema