Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya walawi 19:27weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Wee unaonekana mtu mmoja wa njaanjaa sana ndio maana unachosemea ni bia tuKANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Mipaka ni ipi? Kuna kiwango maalumu ambacho hatutakiwi kuvuka?Tunajidanganya. Jana nilikutana na mlevi mmoja anahangaika na mabinti. Anasema namuonea huruma Mwenyezi Mungu. Kumbe ni paroko wa parokia fulani hapa Dar Es Salaam.
I wish you could see the pain I had in my heart. Yes we are all sinners...ila tusivuke mipaka...extremely dangerous
kwani mavazi ndio mtindo wa nywele?Wamekosea sana ukizingatia kuna mabango ya mavazi yasiyo ruhusiwa hapo nje
Akirudi niahitue.Mambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
hamna kitabu kwenye bible kinaitwa LawMambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Ni walawi 19;27,,usiharibu maandiko mkuu ..Leviticus 19;27Mambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Kwani nywele ni mavazi???? Nywele zile ni ofisi yake katika matangazo.Harusi ikiisha Jumamosi,Jumatatu anatakiwa ofisiniWamekosea sana ukizingatia kuna mabango ya mavazi yasiyo ruhusiwa hapo nje
Hakuna kosa lolote.Chukua Biblia soma Amri Kumi kama utaona wanaongelea habari za kunyoa nywele,kama hakuna basi si kosaNatumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
Watu kama nyinyi mna boa sana. Ukiwa na akili zako timamu huwezi kuwatetea mashoga kwa hali yoyote ileUmeenda mbali mkuu. Ushoga si halali bali kuwa nyanyapaa sijambo jema