Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiuseme ukweli kwa njia ya swali.Ina maana Joti ni mhuni?
Yesu...alisema sikuja kutengua hata nukta....maana yalioandikwa kwenye vitabu vyote Yesu anayabariki maana hta yy ni mtume tu...hakuwa na mamlaka ya kutengua tolati.Hivi tukisema tufuate sheria zote walizopewa hao Walawi kuna mtu wa Dunia ya leo angeiona hiyo Paradiso?
Kifo cha Yesu pale msalabani kiliondoa sheria zote hizi.
Yesu...alisema sikuja kutengua hata nukta....maana yalioandikwa kwenye vitabu vyote Yesu anayabariki maana hta yy ni mtume tu...hakuwa na mamlaka ya kutengua tolati.
Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
Yesu...alisema sikuja kutengua hata nukta....maana yalioandikwa kwenye vitabu vyote Yesu anayabariki maana hta yy ni mtume tu...hakuwa na mamlaka ya kutengua tolati.
Thats according to you.Ni ndoa imefungwa sio mnyoo kichwani..
Kwa Mungu hakuna UsA wala gongolambotoweka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Nafikili haukuelewa nilichoandika.Kwa Mungu hakuna UsA wala gongolamboto
Akisema no ni no hakuna wa kumpinga wala Mungu hataki maoni yako ili aboreshe sheria an utaratibu wake
kosa la mmoja halihalalishi kosa la mwingne nyie ndo wale mbona flan kafanya hvNdikumana Wa Irene Uwoya alifunga ndoa kama hii Kanisa Katoliki huku amesuka , hapo mnasemaje?
nywele hazina mahusiano na ndoa uko sahihi na ndo maana mleta mada ajauliza hasara ya mnyoo wake kwenye ndoa,,,inawezekana kabsa alivonyoa kusiaffect ndoa yakeNywele zinahusiana nini na ndoa ya mtu? Acheni upuuzi wenu sasa hivi
Mambo mengine ni non issue kanisa linadeal sana na mambo ya kiroho na sidhani kama kuna katazo vitu vingine ni vidogo sana kufuatilia mtu mzima Unakuwa kama hauna kazi
Hakuna shida kuhusu nywele
Mungu anatuangalia mioyoni sio style za nywele
nilichogundua nyie hamsomi bibliaMbona amependeza Sana kaangalie ktk biblia Kama inakatazwa kisha uje.
Waabudio halisi huabudu roho na kweli na si mavazi na mwili
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] umemuwezaaKumbe ni mambo ya walawi..nikajua ya watanzania
Kwani biblia inazungumzia mitindo ya nywele??Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===