Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,165
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wapi imeandikwa kunyoa kiduku ni Dhambi?
Mambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wapi imeandikwa kunyoa kiduku ni Dhambi?
Mambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Partly umewajibu mkuu kwa usahihi asanteKANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Ok nimepata kufahamu sitakubal Aya makosa niyaone kwa watu wangu[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kwahiyo unaona amefanya sahihi? Hajafanya kitendo kizuri na haipendezi kiduku kiishie kwenye sanaa...tuna mila ns taratibu zetu kwanza sijui wakwe walimpokeaje na hilo likiduku ptuuuuu.weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Walawi 19:27Mambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Umekwisha mkuuMambo ya walawi yalikuwa yanawahusu wana wa Israel na si watu wa mataifa, ndio maana alikuja Masihi kuukomboa ulimwengu wote wakiwemo watu wa mataifa, hizo sheria zote zilihusu watu wa Israel na si wewe
Lete hojaUmekwisha mkuu
Hakuna hata moja linakuhusu kwenye maandiko kwa kauli hii
Mambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Kuna amri inasema usiibe,usiseme uongo Je unazifuata?Lete hoja
HIVI ANAYEAMUA KUWA MTINDO SAHIHI WA KUNYOA NYWELE NI NANI.HAYO MAWIGI YA MAITI. MARASTA, VIPARA(AU VINAITWA KWA KINYOZI TAKO).MTINDO WA JOTI WAMASAI WAMEKUWA NAO MUDA MREFU KWA HIYO NI WAHUNI
View attachment 619281
Hakuna mwema wote tu wachafu tunajaliwa kwa neema tuu kutenda yatupasayoHivi tukisema tufuate sheria zote walizopewa hao Walawi kuna mtu wa Dunia ya leo angeiona hiyo Paradiso?
Kifo cha Yesu pale msalabani kiliondoa sheria zote hizi.
Kuna amri inasema usiibe,usiseme uongo Je unazifuata?
Km unazishika uliandikiwa wewe??
Alipewa Musa awapelekee israel sasa wewe ni muisrael??
Mungu anisaidie na atusaidie kwa kweli tuna hali mbaya
This is hypocracy!! Would you tell me which verse in the holy bible condemns or recommends any type of haircut? As far as I can remember Samson parents were told not to cut their son's hair.One of those sad things. Eventually what we do and take as normal things, end up going in the holy places. Ndio maana hata ushoga wapo wanaoona ni kitu sawa akiwemo askofu Desmond Tutu
Upendo bila matendo umekufaAmri kuu tuliyopewa na mkombozi wetu ni upendo. Ukiwa na upendo huwezi kuiba, kuua, kusema uongo na kadhalika.
Amri zote zilizotakiwa kufuatwa na mataifa zimetajwa kwenye agano jipya.
Hakuna mwema wote tu wachafu tunajaliwa kwa neema tuu kutenda yatupasayo
Hizi ni kauli tunajipa moyo ila Mungu ni wa rehema atatusaidia kila kitu tusione kizito kushika na kutenda