Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Tunajidanganya. Jana nilikutana na mlevi mmoja anahangaika na mabinti. Anasema namuonea huruma Mwenyezi Mungu. Kumbe ni paroko wa parokia fulani hapa Dar Es Salaam.KANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
I wish you could see the pain I had in my heart. Yes we are all sinners...ila tusivuke mipaka...extremely dangerous