Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

KANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Tunajidanganya. Jana nilikutana na mlevi mmoja anahangaika na mabinti. Anasema namuonea huruma Mwenyezi Mungu. Kumbe ni paroko wa parokia fulani hapa Dar Es Salaam.
I wish you could see the pain I had in my heart. Yes we are all sinners...ila tusivuke mipaka...extremely dangerous
 
Mambo mengine ni non issue kanisa linadeal sana na mambo ya kiroho na sidhani kama kuna katazo vitu vingine ni vidogo sana kufuatilia mtu mzima Unakuwa kama hauna kazi
 
Sijanyanyapaa....ukweli wa Mwenyezi Mungu haujipingi. Uko wazi. Hajaruhusu jinsia moja kufanya mapenzi. Kwanini watu wanapeleka hizo takataka holy places?
Lesbians and gays ni kama ulemavu mwingine... Hatuwezi kuwatupa walemavu wetu, cha msingi tuendelee kuishinao kwa upendo wakweli. Nao waweza Pona nakuwa raia wema
 
Lesbians and gays ni kama ulemavu mwingine... Hatuwezi kuwatupa walemavu wetu, cha msingi tuendelee kuishinao kwa upendo wakweli. Nao waweza Pona nakuwa raia wema
Anyway...sihukumu. naona huruma tu
 
Mbona amependeza Sana kaangalie ktk biblia Kama inakatazwa kisha uje.
 
Kumbe ni mambo ya walawi..nikawajua ya watanzania
kwahiyo na hawa wote hawataenda mbinguni! huu ulimbukeni na ukoloni mamboleo na mwarabu naye atakuambia ufuge ndevu.UKOLONI MTUPU!! KATI YA HAWA!
moran (1).jpg
mange kimambi546.jpg
TBL-MORAN1.jpg
 
Soma kitabu cha Wakorintho, waraka za Mtume Paulo kuhusu mavazi, kusuka na muonekano kwa ujumla mbele za Mungu.
Ndoa ni jambo Takatifu mbele za Mungu halipaswi kuchukuliwa kwa mizaha, ingalikuwa inaruhusiwa kukaa vyovyote mbele ya Kanisa basi hakukuwa na haja hiyo ndoa iingie Kanisani ili ifungwe wangeweza kufungia hata majumbani kwao.
Kuna code of ethics zinazotawala ktk mambo ya dini.

MNASHANGAA KUFUNGA NDOA AKIWA KANYOA KIDUKU? MBONA HAMSHANGAI MATENDO YAKE YA KIKE ANAYOFANYA, JE YAMERUHUSIWA KATIKA DINI ALIYOTUMIA KUFUNGIA NDOA ?
 
Mtindo wa kihuni ni upi? Acha usamba,wewe
 
MNASHANGAA KUFUNGA NDOA AKIWA KANYOA KIDUKU? MBONA HAMSHANGAI MATENDO YAKE YA KIKE ANAYOFANYA, JE YAMERUHUSIWA KATIKA DINI ALIYOTUMIA KUFUNGIA NDOA ?
MATENDO YAKE NI YUPO KAZINI KAMA MCHEKESHAJI.NYIE MNAOJIFANYA WATAKATIFU MNALIWA NA KUGAWA TIGO MNASEMAJE.
 
mimi mwenyewe rc na sijatoa zaka muda sasa,kwanini niwe na tatizo na Joti ambaye hiyo staili yake ya nywele inamfanya alipe 1/10 kila mwezi?
 
KANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Kanisa letu harina shida si bia tu hata uzinzi tunafanya, kwanza kanisani tunasanamu
Sasa kunyoa kiduku ndiyo nini
 
MNASHANGAA KUFUNGA NDOA AKIWA KANYOA KIDUKU? MBONA HAMSHANGAI MATENDO YAKE YA KIKE ANAYOFANYA, JE YAMERUHUSIWA KATIKA DINI ALIYOTUMIA KUFUNGIA NDOA ?
Usihalalishe dhambi moja kwa dhambi nyingine.
Utakatifu wa kanisa unatakiwa ulindwe km inavyopaswa.
Msichanganye mazoea na utaratibu wa kanisa.
 
Back
Top Bottom