Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Kwa uchache Sana,
Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai.
Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za namna hii Hadi anaamua kuachia ngazi. Vipi kuhusu mawaziri na watendaji wengine wenye mamlaka ya kikatiba? Hao si balaa tupu.
Mpaka haya yanat okea ni kweli wewe ulikuwa hujui pamoja na kwamba unazungukwa na vyombo vya kila aina . Watu wa aina hii ya katibu mkuu wapo wengi mno na unawaangali tu.
Huna muda kabisa. Watanzania wanalia kila mara kuhusu changamoto lukuki lakini umewaatamia watu wa namna hii mpaka wenyewe wanaona aibu na kuamua kuachia ngazi.
Sawa lakini nature itaamua kwa muda sahihi. Ngoja niishie hapa