The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi
1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa
2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa
3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo
4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa
5 tunazalisha kizazi cha kukariri kariri tuhawawezi kujitegemea kwa lolote.
Ni ngumu sana kujua ubora wa elimu kwa sababu kila shule itatumia njia yoyote ile kufaulisha ili kuvuita wateja