44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Ndugu zangu Wana Simba nahisi performance ya Timu yetu tumeiona na hapa nawahakikishieni kama itaendelea hivi tusitegemee ubingwa wa ligi kuu.
Ukiangalia usajili uliofanyika naona hakuna mabadiliko chanya yeyote. Tusidanganyane mbadala wa Kagere haupo kabisa, Bora hata wangemwacha tu!! Nini maoni yako!!