Kitendo Cha kutubatiza jina la wanyonge hapo ndio niliona kuwa siasa ni upuuzi mtupu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu.

Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu.

Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla blah kibao tu.

Wanasiasa watanzania ni wezi mmeshikilia sectors muhimu nyie na Familia zenu, ni mtu mjinga ndio atapoteza Muda kupigwa na jua kuwapigia kura.
 
Usipokuwa na mamlaka ama nguvu unakuwa mnyonge by default, hauhitaji kubatizwa. Upende, usipende.
 
Hakuna kitu kilichokuwa kinanikera kama watu kufurahia kuitwa wanyonge pasipo kujiuliza chanzo cha unyonge wao na huku wakifurahia kupewa vihera barabarani ni kama hakuna wizara ambako hizo hela zingekuwa monitored
 
Nchi hii bado ina mabwege wengi hata leo jitu linaona fahari kuitwa mnyonge,mtu kukuita mnyonge ni sawa na kukuona fala na wewe unafurahia kama zuzu.
 
Afisa usafirishaji watu- Bodaboda
Afisa ubahatishaji- Wanaobeti
Afisa walishaji- Mama ntilie
 
Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu.

Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu.

Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla blah kibao tu.

Wanasiasa watanzania ni wezi mmeshikilia sectors muhimu nyie na Familia zenu, ni mtu mjinga ndio atapoteza Muda kupigwa na jua kuwapigia kura.
It was brainwashing mzee 🤣🤣🤣🤣!!
 
Imenikumbusha stori za
Tatizo la Lugha
Vs
Tatizo la Tafsiri

Elewa Lugha ni nini!

Kuna stori ya beberu mmoja hivi kitambo.Aliitwa Bwana Meat of the Wild Pig....unafikiri kwa nini aliitwa hivyo?
 
Back
Top Bottom