DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Unyonge ni udhalili kwa hiyo utashangaza sana ukifurahia kudhalilishwa zaidi.Usipokuwa na mamlaka ama nguvu, automatically unakuwa mnyonge. Hauhitaji kubatizwa. Upende usipende.
Ufurahie, uchukie... Kama hauna nguvu (power) ama mamlaka (authority); wewe ni mnyonge.Unyonge ni udhalili kwa hiyo utashangaza sana ukifurahia kudhalilishwa zaidi.
Sawa mnyonge.Ufurahie, uchukie... Kama hauna nguvu (power) ama mamlaka (authority); wewe ni mnyonge.
Nchi hii bado ina mabwege wengi hata leo jitu linaona fahari kuitwa mnyonge,mtu kukuita mnyonge ni sawa na kukuona fala na wewe unafurahia kama zuzu.Hakuna kitu kilichokuwa kinanikera kama watu kufurahia kuitwa wanyonge pasipo kujiuliza chanzo cha unyonge wao na huku wakifurahia kupewa vihera barabarani ni kama hakuna wizara ambako hizo hela zingekuwa monitored
😅😅😅kwahiyo rais wa wanyonge?Hakuna kinyonge kitachoingia mbinguni
Usisahau pia tulibatizwa jina la wapumbavu na marofa 😂😂Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge
It was brainwashing mzee 🤣🤣🤣🤣!!Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu.
Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu.
Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla blah kibao tu.
Wanasiasa watanzania ni wezi mmeshikilia sectors muhimu nyie na Familia zenu, ni mtu mjinga ndio atapoteza Muda kupigwa na jua kuwapigia kura.