Maxmax72
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 549
- 1,027
Wewe shoga mpira unautia nuksi tu unachoweza wewe ni kupanua watu wasukume pipe tu.UZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe shoga mpira unautia nuksi tu unachoweza wewe ni kupanua watu wasukume pipe tu.UZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Ukishaanza kuona mtu analazimisha awe recognized as a doctor hadi kwenye jamii ambayo ni full of anonymous users, ujue hakuna kitu kichwani hapo.UZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Gongo wazi kaziniTunaipongeza serikali ya mama Samia, Rais wetu kipenzi kwa kuweka mazingira rafiki ya michezo.
Mbumbumbu fcUZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Safi sana,ila nimecheka sana...WAZEE WA FURSAKenya wanasema scouting master wa Simba na Yanga wote ni wakenya,
yani Kenya awataki kupitwa na kitu kwenye hii robo fainali.
Na Hilo liwe lengo la Taifa. Tumechoka dharau. Nadhani majirani Sasa wameona ukubwa wetu, Sisi si wenzao tena.Na mimi nisiwe muongo
Natamani simba na Yanga zote zipite ziende nusu fainali. Kuna kitu we need to show it to CAF about football in Tanzania
Kwani zile tano zilikuwa kombe gani?UZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO