Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Lissu anajuwa kilichomsibu ila hataki kusema ukweli tu....inasemekana alikuwa anatembea na mke wa mtu na ndiyo maana serikali haikuchukulia maanani kesi yake because they know the truth wanamsubiri yeye mwenyewe aseme ukweli. Mbona Lissu hajaenda polisi kushitaki kama maisha yake yako hatarini, na nani serikalini atake kumuua yeye wakati hana umuhimu wowote hapa nchini?Atoe taarifa polisi gani? Hivi kesi ya lissu kupigwa risasi 16 inaendeleaje?
ahahahaha kumbe wewe unayajua haya mambo ni mafuta gani jiwe anakupaka wee mmbobezi wa kufumuliwa marinda?Baba ako ndo anafumuliwa marinda na misukule bila kupakwa mafuta
Chadema na watu wake wameshazoea kuishi kimaigizo muda wote wao wamekaa kitamthilia tamthilia.Wataigiza mpaka watakoma nchi inasonga mbeleAmekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Fanya uchunguzi. Kuna watu wanaona sifa kuwa wakimbizi. Ugomvi ulipozuka Kenya, wakenya wengi Ulaya waliomba ukimbizi. Mauaji ya Pemba yaliwapa nafasi wazenj waliokwa ulaya kwa kujificha kuomba ukimbizi na baadaye TZ tukawekewa visa. Wapo wa-TZ kibao ulaya wanaojidai ni wakimbizi wa Sudan.Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Hapo zamani za kale,Yesu Masiya na wazazi wake walikimbilia Misri,naye Mtume Muhammad kwa wakati wake akikimbilia Yathrib uitwao leo Madina,baadaye walirudi
Bring the evidence, vinginevyo ni majungu tu.Mrudisheni basi Bensa8,Azory na yule Kanguye walau hao wa3 halafu tuwaletee Lema eti!
Ndio wanavyotuona sisi watu wa vijijiniMkuu,
This quoted clause is derogatory to persevere "...Kawaambie mafala wa huko vijijini......."
Are you serious as a Chadema addict to insult the people living in the villages that are 'fools' to be able to discern what is written in the mining contrcats entered between teh state and elaborative investors.
Thuis is too pathetic and you are still desirously struggling to convince them support your bourgeoise activism?
If you are fed up with Tanzania you are not in sanctions therefore you better pack off and migrate to your favorable destination as soon as practicable at which you can continue spitting the hatred for futility.
Nyinyi donakantri mnasonga mbele na kukopa kwa wachina bila kuweka dhamana ya rasilimali kwa sababu hao sio mabeberu.Chadema na watu wake wameshazoea kuishi kimaigizo muda wote wao wamekaa kitamthilia tamthilia.Wataigiza mpaka watakoma nchi inasonga mbele
Disapeared and dead-kabudiBring the evidence, vinginevyo ni majungu tu.
Maisha yana thamani bila kujali makelele ya washangiliaji,hata Mwangosi alikatiliwa uhai mchana mnaona,unafikiri mitume hawakukimbia madeni isipokuwa keki.Tukumbushe vizuri. Hivi nao walikimbia baada ya kushindwa uchaguzi ili maisha yasiwaendee kombo, ikiwemo kulemewa na mzigo wa madeni?
Ni mzaha wa ajabu sana kujaribu kuwalinganisha wateule wa Mungu na Savimbian and Trumpian politicians!
Ehee,tuwashindanishe lissu na magu kwenye uwanja wa kutembea na wake za watu,hebu temea chini we kijana.Lissu anajuwa kilichomsibu ila hataki kusema ukweli tu....inasemekana alikuwa anatembea na mke wa mtu na ndiyo maana serikali haikuchukulia maanani kesi yake because they know the truth wanamsubiri yeye mwenyewe aseme ukweli. Mbona Lissu hajaenda polisi kushitaki kama maisha yake yako hatarini, na nani serikalini atake kumuua yeye wakati hana umuhimu wowote hapa nchini?
Unataka kujitutumua kutumia lugha ya malkia wakati huwezi, andika Kiswahili tu usifikirie kiingereza ni bora kuliko Kiswahili. Huo ndio tunaita upimbi!Disapeared and dead-kabudi
Afya ni kubaki nyumbani na kupigwa risasi.Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Magogoni chuo cha usekekretari si mmeshafungua?Kuifukuzia shilingi ni ngumu ! Nipeni mbinu za kuwa mkimbizi nikale bata .Hata kama kwa kalumanzila nitaenda .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Akili zingine,hii inaashiria kwamba Lema alikuwa agent wa mabeberu all along binti,mbona hii iko wazi.Do you really know what the opposition is.Ni mbinu za Western countries za destabilization of countries.Ni system ile ile ya devide and rule.Amka binti.Mmelishwa matango mwitu sasa mna regurgitate.Very sad.Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?