Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa