Pre GE2025 Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zaidi ya matusi ya mkwe wetu ya kifua kipana ameshidwa kuendesha hata chaguzi za kijiji! Mama na mkwe wake wamekuwa janga la taifa kwa sasa. Wakati nchi nyingine zinaendelea kwa ujumla wake na katiba njema hapa kwetu viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni
Atatetewa kwa nguvu kubwa mno...ikibidi kutekwa na kupotezwa ili mradi kiz itamalakiiiii
 
Zaidi ya matusi ya mkwe wetu ya kifua kipana ameshidwa kuendesha hata chaguzi za kijiji! Mama na mkwe wake wamekuwa janga la taifa kwa sasa. Wakati nchi nyingine zinaendelea kwa ujumla wake na katiba njema hapa kwetu viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni
viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni🔨
 
Mbona unaitusi nchi yako hivyo?
 
viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni🔨
Mtu anaye kaa mbweni na mbagala ni watu wawili tofauti kwenye taifa moja
 
Zaidi ya matusi ya mkwe wetu ya kifua kipana ameshidwa kuendesha hata chaguzi za kijiji! Mama na mkwe wake wamekuwa janga la taifa kwa sasa. Wakati nchi nyingine zinaendelea kwa ujumla wake na katiba njema hapa kwetu viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni
HAKUJAWAHI KUWA NA MSWAHILI YEYOTE WA PWANI ALIYEWAHI KUWA SIRIAZI
 
Kulia lia haiwezi kusaidia. Viongozi wabovu wanang'olewa kwa nguvu siyo maombi. PERIOD
 
Nilitaka kumtetea lakini nikajiuliza kwa nini aliweka mkwe??ina maana yeye ndo anamtuma mkwe tusimlaumu mkwe ni maelekezo tu.nyie watanganyika mnataka anyanganywe make kwa kushindwa kazi??ata ungekuwa wewe lazima umuheshumu ma mkwe!!!
 
Wataondoka kwenye viti vyao kwa aibu ya karne
Katiba tuliyonayo inachezewa kwa sababu ya mapungufu yake. Nashauri, tutakapoirekebisha tuweke kipengele cha kumuwajibisha kiongozi yeyote, utekelezaji wake utamke unaanza 1961 tulipopata uhuru. Lengo tupopoe mali walizokusanya kwa ubadhirifu ili zirudi kwa wananchi.
Kuna nchi walifanya hivyo, heshima ikarudi.
 
Unashangaa ibadani watu wanaenda kufanya nini kama watu hawana hofu ya Mungu.Hizi ni laana tu wanaandalia uzao wao
 
Che Guevara halisi alipambana kuzipa nchi uhuru na hakulazimisha kuzitawala.

Halafu Che Guevara bandia wa Rufiji yuko busy kusaidia wizi na ubakaji wa demokrasia.
 
Zaidi ya matusi ya mkwe wetu ya kifua kipana ameshidwa kuendesha hata chaguzi za kijiji! Mama na mkwe wake wamekuwa janga la taifa kwa sasa. Wakati nchi nyingine zinaendelea kwa ujumla wake na katiba njema hapa kwetu viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni
Tumeshasema kwamba CCM sio chama tena kimejaa wahuni tu wanaojisifia ujinga muda wote.
 
Zaidi ya matusi ya mkwe wetu ya kifua kipana ameshidwa kuendesha hata chaguzi za kijiji! Mama na mkwe wake wamekuwa janga la taifa kwa sasa. Wakati nchi nyingine zinaendelea kwa ujumla wake na katiba njema hapa kwetu viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni
We bwege kwanza jifunze kuandika "tamisemi" ndio nini.
 
Zaidi ya matusi ya mkwe wetu ya kifua kipana ameshidwa kuendesha hata chaguzi za kijiji! Mama na mkwe wake wamekuwa janga la taifa kwa sasa. Wakati nchi nyingine zinaendelea kwa ujumla wake na katiba njema hapa kwetu viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni
Nani alikutuma kuoa ukoo wa kimaskini? Lofa tu wewe
 
Back
Top Bottom