Pre GE2025 Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ramli na ushirikina na kitu mbaya sana,

unajikuta ni mwenye hofu tu kila wakati mihemko, hasira na naegativity vimejaa moyoni na katika fikra zako...🤣

utumwa na uraibu mbaya sana huu,
hata hivyo,
uoga wako ndiyo umaskini wako. jiamini kua jasiri. fanya kazi zako kwa bidii na nafasi, achia na wengine wafanye kazi zao kwa uhuru na nafasi na tusonge mbele kama Taifa šŸ’
Uliwahi sema ramri na ushirikiana nazani andiko langu limetimia na majibu umepata
 
28 October 2024

HUKUMU YATOLEWA, TAMISEMI KISHERIA KUENDELEA KUSIMAMIA UCHAGUZI 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=aU2xrxGnnis

TOKA MAKTABA:
USHINDI WA KIUFUNDI WA TAMISEMI MBELE YA MAHAKAMA KUU 28 OCTOBER 2024
Mambo mazito yaelezewa kwa kina :

:FIRE: MAZITO :

BUNGE KUTOTUNGA SHERIA INAIPA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=zsVIiXNjhlg

2024 Majukumu ya Tume INEC:

10.-(1) Kwa kuzingatia matakwa ya Ibara za 74(6), 75 na 78 za Katiba, Tume itakuwa na majukumu yafuatayo:

(a) kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano na uchaguzi wa Madiwani kwa Tanzania Bara;

(b) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa Rais na Wabunge na uchaguzi wa Madiwani
kwa Tanzania Bara;

(c) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa serikali za vijiji, mitaa na vitongoji TanzaniaBara kwa kuzingatia utaratibu utakao ainishwa katika Sheria itakayotungwa na Bunge;

(d) kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya
Muungano katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya
uchaguzi wa Wabunge;

(e) kuteua na kuwatangaza Wabunge Wanawake wa
Viti Maalumu katika Jamhuri ya Muungano na Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu kwa Tanzania Bara;

(f) kuandaa na kusimamia Kanuni za Maadili ya.....

Source :
SHERIA YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YA MWAKA
2024 (22nd March, 2024
ACT SUPPLEMENT To The Gazette of the United Republic of Tanzania No. 12 Vol. 105 Dated 22
nd March, 2024Printed by The Government Printer, Dodoma by Order of Government)

Wakili msomi anafafanua mkanganyiko uliopo katika jamii, Tume Huru ya Uchaguzi pamoja ya kupewa mamlaka ya kusimamia chaguzi, tatizo bunge la chama kimoja haijapitisha sheria bungeni kuipa meno kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November 2024 mawakili wasema.....

Zaidi ya hilo uchaguzi wa serikali ya mitaa ili uweze kupiga kura lazima uwe unaorodhoshwe ktk daftari ikiwemo .... bila kujiandikisha kwenye daftari hutaweza kupiga kura uchaguzi wa TAMISEMI November 2024...

Mpaka itapotungwa sheria bungeni waziri wa TAMISEMI ataendelea kusimamia uchaguzi wa November 2024 ....

Bandiko #63 hapo juu : Kama kule Butiama zoezi ni la uchaguzi mkuu wa 2025 , hivyo wananchi wasichanganye uandikishaji kule Butiama ni mahsusi kwa uchaguzi mkuu 2025

Ni lazima tena kujiandikisha ktk daftari la Serikali ya Mitaa ili uweze kupiga kura November 2024 .....
 
..Tamisemi iko chini ya Mwenyekiti mwenyewe.

..kwa mfano, ukisikia Wizara iko chini ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, kisheria Waziri ni Makamu wa Raisi.

..kuna wakati Dr.Seng'ondo Mvungi alimshitaka Raisi Mkapa kwa nafasi yake kama Waziri wa Tamisemi.
Kesi ilifika wapi?
 
Sidhani kama kuna taifa lingine duniani ambalo lina Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ndani ya Uchaguzi huo kuna Mama Mkwe wake! šŸ˜” it's sad tunapata kuona hili Tanzania, Mohamed anasimamia Uchaguzi wa Mama Wanu?! Daah hii KALI YA KARNE šŸ˜”
 
TOKA MAKTABA:
USHINDI WA KIUFUNDI WA TAMISEMI MBELE YA MAHAKAMA KUU 28 OCTOBER 2024
Mambo mazito yaelezewa kwa kina :

:FIRE: MAZITO :

BUNGE KUTOTUNGA SHERIA INAIPA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=zsVIiXNjhlg

2024 Majukumu ya Tume INEC:

10.-(1) Kwa kuzingatia matakwa ya Ibara za 74(6), 75 na 78 za Katiba, Tume itakuwa na majukumu yafuatayo:

(a) kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano na uchaguzi wa Madiwani kwa Tanzania Bara;

(b) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa Rais na Wabunge na uchaguzi wa Madiwani
kwa Tanzania Bara;

(c) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa serikali za vijiji, mitaa na vitongoji TanzaniaBara kwa kuzingatia utaratibu utakao ainishwa katika Sheria itakayotungwa na Bunge;

(d) kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya
Muungano katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya
uchaguzi wa Wabunge;

(e) kuteua na kuwatangaza Wabunge Wanawake wa
Viti Maalumu katika Jamhuri ya Muungano na Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu kwa Tanzania Bara;

(f) kuandaa na kusimamia Kanuni za Maadili ya.....

Source :
SHERIA YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YA MWAKA
2024 (22nd March, 2024
ACT SUPPLEMENT To The Gazette of the United Republic of Tanzania No. 12 Vol. 105 Dated 22
nd March, 2024Printed by The Government Printer, Dodoma by Order of Government)

Wakili msomi anafafanua mkanganyiko uliopo katika jamii, Tume Huru ya Uchaguzi pamoja ya kupewa mamlaka ya kusimamia chaguzi, tatizo bunge la chama kimoja haijapitisha sheria bungeni kuipa meno kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November 2024 mawakili wasema.....

Zaidi ya hilo uchaguzi wa serikali ya mitaa ili uweze kupiga kura lazima uwe unaorodhoshwe ktk daftari ikiwemo .... bila kujiandikisha kwenye daftari hutaweza kupiga kura uchaguzi wa TAMISEMI November 2024...

Mpaka itapotungwa sheria bungeni waziri wa TAMISEMI ataendelea kusimamia uchaguzi wa November 2024 ....

Bandiko #63 hapo juu : Kama kule Butiama zoezi ni la uchaguzi mkuu wa 2025 , hivyo wananchi wasichanganye uandikishaji kule Butiama ni mahsusi kwa uchaguzi mkuu 2025

Ni lazima tena kujiandikisha ktk daftari la Serikali ya Mitaa ili uweze kupiga kura November 2024 .....

..maana yake ni kwamba hii michezo inaweza kuendelea hata uchaguzi wa 2029, 2034, 2038,...

..ilimradi BUNGE LA CCM halijatunga hiyo sheria Waziri wa Tamisemi / Mwenyekiti wa Ccm ataendelea kusimamia uchaguzi wa serikali za vijiji.
 
Mi Kuna kitu huwa sikielewi wakuu mbona mahakamani kesi wakishinda upande X mawakili wao hupongezwa

mawakili wa serikali hudharauliwa kua hawapo vizuri kwenye sekta iyo

Lakini wakishinda upande wa
serikali Kunakua na malalamiko ya rushwa
 
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.

Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.

Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.

Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Hivi kuna binadamu yuko serious kabisa kwamba kuna uchaguzi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Uchaguzi ambao mpiga kura hahitaji hata kuwa na kitambulisho chochote kupiga kura unaitaje ni uchaguzi?
 
..serikali ilifyata mkia na kubadili maamuzi yaliyomlazimisha Dr.Mvungi kufungua shauri mahakamani.

..kama sijakosea, Dr.Mvungi alikuwa wakili, akimuwakilisha, Dr.Slaa, na wananchi wa Karatu.
Yani Dr Mvungi kama namuona mpaka leo siamini kama alifariki kitambo hakika ccm imeuwa watu wengi sana.
 
ramli na ushirikina na kitu mbaya sana,

unajikuta ni mwenye hofu tu kila wakati mihemko, hasira na naegativity vimejaa moyoni na katika fikra zako...🤣

utumwa na uraibu mbaya sana huu,
hata hivyo,
uoga wako ndiyo umaskini wako. jiamini kua jasiri. fanya kazi zako kwa bidii na nafasi, achia na wengine wafanye kazi zao kwa uhuru na nafasi na tusonge mbele kama Taifa šŸ’
Ccm ni magaidi na serikali imeteka mahakama- rejea kauli Rostam Aziz! Ni simu TU basi mchezo Keisha!
 
Hivi kuna binadamu yuko serious kabisa kwamba kuna uchaguzi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Uchaguzi ambao mpiga kura hahitaji hata kuwa na kitambulisho chochote kupiga kura unaitaje ni uchaguzi?
Tamisemi ni mapuuuzi sana!
 
..ilimradi BUNGE LA CCM halijatunga hiyo sheria Waziri wa Tamisemi / Mwenyekiti wa Ccm ataendelea kusimamia uchaguzi wa serikali za vijiji.

Na jaji katika hukumu yake kapigilia mstari Bunge kushindwa kutunga sheria (kwa makusudi), hivyo kiufundi Bunge la chama kimoja chama dola kongwe kuwazunguka waTanzania

Source :
Bob Chacha Wangwe & 2 others versus The Minister, President's Office Regional Administration and Local Government & another (Miscellaneous Civil cause no. 23513 of 2024) [2024] TZHC 8982 (28 October 2024) Copy Media Neutral Citation[2024] TZHC 8982 Copy Hearing date 17 October 2024

Court High Court of Tanzania Court registry High Court Dar es Salaam Zone Registry Case number Miscellaneous Civil cause no. 23513 of 2024 Judges Ngunyale, J.

Judgment date 28 October 2024 Language English Type Judgment
 
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.

Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.

Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.

Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Sikusomaga uzi wako huu uliosheheni madini tupu!

Sasa kiko wapi kwa wale waliokunanga na kukuita mpiga ramli chonganishi, watazificha wapi sura zao?
 
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.

Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.

Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.

Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Ukisoma hukumu Judge ame analyse vilivyo, tatizo mawakili wa applicants walikuwa wanapiga ramli hawakujenga hoja za kisheria.
 
Ccm ni magaidi na serikali imeteka mahakama- rejea kauli Rostam Aziz! Ni simu TU basi mchezo Keisha!
sikuzote mkosaji huwa katika hali ya kachanganyikiwa zaidi anapokua amekosa yote hadharani mchana kweupe na hua hana namna nyingine kabisa bali kulalamika na saa zingine kuongea pekeyake šŸ’
 
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.

Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.

Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.

Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
CCM wasingeweza kuruhusu
 
31 October 2024
CHADEMA TUNDUMA Walalamika UCHAGUZI 2024, OFISI ZA WATENDAJI ZIMETIWA KUFULI

Maofisa watendaji Ofisi Kata ya Sogea Tunduma, Tanzania siku ya nne ofisi imefungwa, nakala za fomu za CHADEMA wamefungia ndani hawataki kuzitoa .....

View: https://m.youtube.com/watch?v=zUTZm6shYac
 
31 October 2024
Tunduma, Tanzania

MWAKAJOKA Afichua Mengine TUNDUMA mchakato wa uchaguzi wa TAMISEMI

View: https://m.youtube.com/watch?v=mlHY3aftn54
Mjini Tunduma mitaa ya Half London, Jakaya,.... Frank George Mwakajoka makamu mwenyekiti kanda ya CHADEMA NYASA afichua ...

Msimamizi wa uchaguzi ni DED Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo, ...
1730410104312.jpeg

Picha maktaba: mkurugenzi Mariam Chaurembo

Mkurugenzi DED Mariam Chaurembo ambaye ni msimamizi wa uchaguzi katika Halmashauri hiyo, anayetakiwa kwa niaba ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kushughulika na malalamiko kuhusu uchaguzi wa TAMISEMI 2024... anashiriki katika hujuma kwa kuvuruga uchaguzi mjini Tunduma Tanzania
 
Zaidi ya matusi ya mkwe wetu ya kifua kipana ameshidwa kuendesha hata chaguzi za kijiji! Mama na mkwe wake wamekuwa janga la taifa kwa sasa. Wakati nchi nyingine zinaendelea kwa ujumla wake na katiba njema hapa kwetu viongozi wanajali ndugu, chama na marafiki na sio nchi kwa ujumla wake. Tanzania imekuwa shamba la bibi kwa hawa ndugu zetu waliopo madarakani. Tuombee hii nchi . Mungu atafanya maajabu yake tena hivi karibuni
 
Back
Top Bottom