Kitendo cha Manara kumpiga madongo ya wazi Barbara ni ukatili, binti wa watu almanusura azimie

Tulia wewe, kuna tusi gani hapo?
Umeongea bila hekima hilo jambo ndio lilioafanya mpka ww umezaliwa kama mama ako asingekuwa anaingia mwezini inamaanisha angekuwa ana uwezo wa kutoa mayai hata ww usingezaliwa hivyo muda mwingine uwe unafikiria kabla ya kuongea hata mungu wako atakuwa hayupo na ww kwa maneno hayo
 
Tatizo la huyo mswahili anapania kulipa kisasi na kinacho muumiza ni kutokujibiwa , faraja yake anatamani ajibiwe ili ajihisi ana umuhimu sasa akipotezewa hasira zinazidi uwezo wa kufikiri
 
Huu ni udhalilishaji

Kwa kweli kitendo cha Manara kumtupia madongo huyu binti ilikuwa ni ukatili, yani Barbara alikuwa anaombea tu muda uende haraka Manara amalize maana si kwa makombora ya madongo haya Manara aliyokuwa akimfyatulia binti, Manara ana mdomo mchafu aiee.

Ilibidi binti wa watu aangalie pembeni na aikaze sana mikono na meno ili kujizuia asitetemeke na kuzuia machozi

View attachment 2248585

Manara kaona haitoshi bado anapasha kiporo kaweka hii video insta, huu sio ukatili kweli?

View attachment 2248544
Naomba kuuliza.!!

Nini kimewakutanisha hawa raia hapo!??
 
Baada ya kuiona hii leo nimecheka almanusura nilie,......
Aisee, Nyie huyu Haji siyo mzima kabisa kichwani ....🤣🤣
 
Nyakati za Magumashi Yanga hufanya vizuri sana

sijui mahusiano ya Magumashi na Yanga

2015-2021 ilipotea kabisa
Nikukumbushe kuanzia 2014/2015, 2015/2016 na 2016/2017 Yanga tumechukua ubingwa na kumnyanyasa sana Simba kuna msimu hapo mtani alikufa nje ndani kitu ambacho ni adimu sana kutokea kwenye derby sasa sijui hyo 2015~2020 yako umeitoa wapi Yanga tumekuja kupotea 2017/2018,2018/2019,2019/2020 na 2020/2021 hii 2021/2022 tumerudi tena
 
Haji ni kiumbe bwana!Mja haswa!!yaani anamdomo mchafu kuliko uchafu wenyewe[emoji23]!unaweza hata kumdhuru kutokana na mdomo wake wallah[emoji30]ana Phd ya kukera na maudhi
 
Halafu sidhani kama Manara anawezakuwa na utajiri huo kiasi cha kumfanya adharau watu, huku mitaani maisha ni mazuri zaidi kuliko kwenye hayo maisha ya mitandani ambapo uwezo wa mtu kuigizia maisha ndo humtambulisha kama mwenye hela.

Nafikiri kuna sababu nyingine inayofanya awe vile , ulimbukeni.
 
Huu ni udhalilishaji

Kwa kweli kitendo cha Manara kumtupia madongo huyu binti ilikuwa ni ukatili, yani Barbara alikuwa anaombea tu muda uende haraka Manara amalize maana si kwa makombora ya madongo haya Manara aliyokuwa akimfyatulia binti, Manara ana mdomo mchafu aiee.

Ilibidi binti wa watu aangalie pembeni na aikaze sana mikono na meno ili kujizuia asitetemeke na kuzuia machozi

View attachment 2248585

Manara kaona haitoshi bado anapasha kiporo kaweka hii video insta, huu sio ukatili kweli?

View attachment 2248544
Ila huyu CEO ana wakati mgumu sana kwa baadhi ya viongozi wa Simba hawa mkubali kabisa. Nilitizama Intv ya Kassim Dewji YouTube na EFM,mwamba aliongea shit, halafu hawa ndio wahuni wenyewe wa Simba wanayo ijua michezo michafu.
 
Babra kaja na mfumo mwingine wa kuendesha Simba ,mianya yote imezibwa ndo maana wanaumia , Imagine tenda ya jezi Kasim alikuwa analipa mil 300,Babra kaja na mfumo kwamba itangazwe tenda bila longo longo,ndo vunja bei katoa 2b ,saaa unadhani watu kama hao watampenda?
 
Umeongea bila hekima hilo jambo ndio lilioafanya mpka ww umezaliwa kama mama ako asingekuwa anaingia mwezini inamaanisha angekuwa ana uwezo wa kutoa mayai hata ww usingezaliwa hivyo muda mwingine uwe unafikiria kabla ya kuongea hata mungu wako atakuwa hayupo na ww kwa maneno hayo
Kwenda mwezini ni sayansi wewe
Umeongea bila hekima hilo jambo ndio lilioafanya mpka ww umezaliwa kama mama ako asingekuwa anaingia mwezini inamaanisha angekuwa ana uwezo wa kutoa mayai hata ww usingezaliwa hivyo muda mwingine uwe unafikiria kabla ya kuongea hata mungu wako atakuwa hayupo na ww kwa maneno hayo
 
Attachments

  • Ny.jpeg
    Ny.jpeg
    16.5 KB · Views: 14
Manara bado anaipenda simba na hata yanga kule nafsi yake haijaridhika ila ukiona kwenye social network yuko happy ila inside bado haja move on.
Jipe moyo hivyo hivyo,manara yuko happy sababu ya anguko la simba ikiwa yeye alitolewa kwa dharau na kutuhumiwa anaihujumu now day hayupo ndani ya makolo na ndo hali imezidi kuwa mbaya,
Mshukuru Mungu ngyvu ya JISIEM imesaidia
Nawe umshukuru mo alivyoiokoa kolo fc
 
Attachments

  • FB_IMG_1563093702621.jpg
    FB_IMG_1563093702621.jpg
    13.4 KB · Views: 16
Nikukumbushe kuanzia 2014/2015, 2015/2016 na 2016/2017 Yanga tumechukua ubingwa na kumnyanyasa sana Simba kuna msimu hapo mtani alikufa nje ndani kitu ambacho ni adimu sana kutokea kwenye derby sasa sijui hyo 2015~2020 yako umeitoa wapi Yanga tumekuja kupotea 2017/2018,2018/2019,2019/2020 na 2020/2021 hii 2021/2022 tumerudi tena
Mkuu atakusumbua huyo, hana miaka mitatu tangu aanze kushabikia mpira.
 
Back
Top Bottom