Kitendo cha Mashabiki wa Yanga kuonyesha picha ya Mwenyekiti wa CCM kwenye tamasha lao kilaaniwe na wapenda soka dunia nzima

Ni lini labda wana Yanga SC wamewahi kuwa na Akili timamu Ndugu?
 
Kuna mchakato unafanyika wa kumfanya kila Mtanzania aunge mkono juhudi za timu ya Wananchi

Hii inatokana na kwamba sio kila Mtanzania ni mwananchi, kwahiyo serikali ipo katika mkakati huo

Stay tune
 
Mbona magu alikuja Simba day na akaja siku ya Simba na kagera kawaida tu naona hata fremani ni yanga damu
 
Wewe ndugu mbona unajaa sumu kwa vitu vilivyo wazi , Yanga ni timu ya wananchi na tulikubaliana wote kuwa huyo ndiye Rais wetu , sasa wewe utwambie huyo mbowe amekuwa lini rais hata wa chuo.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndugu mbona unajaa sumu kwa vitu vilivyo wazi , Yanga ni timu ya wananchi na tulikubaliana wote kuwa huyo ndiye Rais wetu , sasa wewe utwambie huyo mbowe amekuwa lini rais hata wa chuo.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
mlikubaliana na nani ?
 
Wameonyesha picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hiyo picha waliyoionyesha utaikuta kwenye ofisi zote za serikali,Taasisi binafsi na maduka ya wafanyabiashara mbalimbali.Wewe mshamba kweli unaleta mambo ya siasa ya kijinga kabisa basi na wewe ungebeba ya mtu unayempenda wewe.Huyo ndiyo Rais wetu hakuna mwingine kama yeye.Mama Samia oyeeeeeee
 
Huyu kuonyeshwa uwanjani wakati hajawahi kupiga danadana hata mbili , huku kauli yake kuhusu wasichana wanaocheza ingali bado haijasahaulika maana yake nini ?

Halafu hapa kaonyeshwa kama Rais au Mwenyekiti wa ccm ?
 
Mawazo yao..
 
Na mwamedi amewahi kupiga siasa kwenye shughuli ya simba hapohapo taifa
 
Kongamano la katiba Dar ni marufuku eti kuna "kina Hamza", lakini kujumuika kuinua picha ya Samia " hakuna Hamza".!!! Ama kweli weredi wa ... upo rehani.
 
Una uwezo mdogo SAna wa kufikiria!!
Unatofautishaje picha ya mwenyekiti wa chama na picha ya Rais wa nchi?? Jaribu kubadilisha maneno yako...yasomeke hivi kitendo Cha wananchi wa Tz ambao pia ni mshabiki wa Yanga kubeba picha ya raisi wao wa nchi!! Kilaaniwe.....,....... halafu rudia tena kusoma!!: Ukiwa peke ako
 
Picha inayoonekana imebebwa na mashabiki wa Yanga inawakilisha Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania na sio mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(CCM) kama unavyodai wewe. Pengine kama una hoja mbadala kuthibitisha madai yako karibu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† haya ndugu dawa ya minyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…