Sasa wewe kitu gani hukuelewa hapo au ulitaka nitaje majina ya wote, huyo wa Paul, Muro, Api wako wazi tu.Mbona hujamtaja rc wa Dar, mbumbumbu mna shida gani viongozi wakiwa upande wa Mikia mnakuwa kimya ila wakiwa upande wa pili mnaumia.... Shida ni nini?
Sasa wewe kitu gani hukuelewa hapo au ulitaka nitaje majina ya wote, huyo wa Paul, Muro, Api wako wazi tu.
Unafikiri ikitokea Simba ikaenda kucheza manyara afu Muro akahamasisha ili Simba ifungwe kuna mtu atashangaa kweli. Hao identity zao zinafahamika.
Kwani huyo wa Kagera tukijua/tushajua Identity yake kwani kuna ubaya gani ewe Mbumbumbu Bin Bi Hindu?Sasa wewe kitu gani hukuelewa hapo au ulitaka nitaje majina ya wote, huyo wa Paul, Muro, Api wako wazi tu.
Unafikiri ikitokea Simba ikaenda kucheza manyara afu Muro akahamasisha ili Simba ifungwe kuna mtu atashangaa kweli. Hao identity zao zinafahamika.
Hii hamasa anayoitangaza Leo itaishia Kwenye mechi ya Simba.
Naomba hii comment itunzwe
Naona Mikia aka Mbumbumbu mnaanza kulia kabla sindano hazijawaingia.
Hivi kuna staa gani anayeifanya kagera sugar kuogopwa na Simba kiasi hiki??
Kwani huyo wa Kagera tukijua/tushajua Identity yake kwani kuna ubaya gani ewe Mbumbumbu Bin Bi Hindu?
Subiri kipigo tyu hapo kesho toka kwa wakata miwa.. Huna miguu ya kumfunga Kagera kwao