Kitendo cha mkuu wa mkoa kukamia timu kubwa ligi kuu kikemewe

Mbona hujamtaja rc wa Dar, mbumbumbu mna shida gani viongozi wakiwa upande wa Mikia mnakuwa kimya ila wakiwa upande wa pili mnaumia.... Shida ni nini?
Sasa wewe kitu gani hukuelewa hapo au ulitaka nitaje majina ya wote, huyo wa Paul, Muro, Api wako wazi tu.
Unafikiri ikitokea Simba ikaenda kucheza manyara afu Muro akahamasisha ili Simba ifungwe kuna mtu atashangaa kweli. Hao identity zao zinafahamika.
 
Mnaumia nini Mkuu wa mkoa wa Kagera kuhamasisha timu ya mkoani kwake iifunge timu pinzani kutoka mkoa mwingine?

Mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
 
Sasa wewe kitu gani hukuelewa hapo au ulitaka nitaje majina ya wote, huyo wa Paul, Muro, Api wako wazi tu.
Unafikiri ikitokea Simba ikaenda kucheza manyara afu Muro akahamasisha ili Simba ifungwe kuna mtu atashangaa kweli. Hao identity zao zinafahamika.
Kwani huyo wa Kagera tukijua/tushajua Identity yake kwani kuna ubaya gani ewe Mbumbumbu Bin Bi Hindu?
 
Back
Top Bottom