Kitendo cha MOSAD kushindwa kutambua mahali walipo mateka kinaifanya dunia ione uongo wa Mazayuni

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.

Nawatakia usiku Mwema
 
Alafu mbaya zaidi kieneo chenyewe ambapo wanashikiliwa ni sawa na nusu ya kigamboni bora hata pangekuwa pakubwa kama dar nzima.

Watu walio okoa mateka kutoka Uganda ambayo iko maelfu ya km kutoka nchini kwao , leo hii wameshindwa kuokoa mateka kutoka kieneo ambacho wamekuzunguka kila sehemu.
Ebu angalia ramani uone kigaza kinavyo lingana.
JamiiForums1620158186.jpg
 
Wabongo bwana hebu kueni welevu basi?? israeli ingeweza kuipiga gaza kwa siku moja ila vita sio km mnavofikiri nyie wanaabgalia na kuua raia wasio husika ndo maana walikua wanatoa warning ndo wanapiga mabom.Zile vita za kibabe km ww1 na ww2 mfano germany ilikua inavamia kibabe inaua hovyo hovyo lakini sasa hivi vita imekua ya kuangalia raia.Vita ya Ukraine na Russia imechukua mda mrefu sababu Russia habutui tu wanaangalia pia usalama wa raia wema .
 
Israel imevuliwa nguo hata Yemen kaamua atangaze vita ajipigie [emoji23]
 
Wabongo bwana hebu kueni welevu basi?? israeli ingeweza kuipiga gaza kwa siku moja ila vita sio km mnavofikiri nyie wanaabgalia na kuua raia wasio husika ndo maana walikua wanatoa warning ndo wanapiga mabom.Zile vita za kibabe km ww1 na ww2 mfano germany ilikua inavamia kibabe inaua hovyo hovyo lakini sasa hivi vita imekua ya kuangalia raia.Vita ya Ukraine na Russia imechukua mda mrefu sababu Russia habutui tu wanaangalia pia usalama wa raia wema .
Apia
 
Kwema Wakuu!

Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.

Nawatakia usiku Mwema
Ukisoma uwezo wao kwenye makaratasi waweza hama sayari hii
 
Nato nzima ilikuwa huko gaza wote wameangukia pua
SWALI NANI KAKALIA JERUSALEM. usijifariji kilio chako ni msikiti wa al aqsa na jiji la Jerusalem kukaliwaa na wajukuu wa rebecca.
 
Kwema Wakuu!

Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.

Nawatakia usiku Mwema
wewe jifariji tuu. mwaka 1967 usiusahau. mataifa yote ya kiislamu yaliishambulia Israel na msaada wa MOSSAD ndio ulioifanya Israel ishinde vita kwa siku sita. kamasi au hamas ni kunguni tuu achafuaye vyumba na kutafutiwa diazon. je unaweza msifia kunguni ni kiboko cha mwenye nyumba ikiwa mwenye nyumba anauwezo wa kutumia diazon kuwafuta wote? Diazon ya mashariki ya kati ni Nukilia power!

Mossad ndo waliosaidia kumuua mohamed Al wazir kule Tunisia mwaka 1981. Mohamed al wazir alipigwa risasi mia nane na kumlazimisha mkewe na watoto waangalie jinsi anavyouliwa.
Mossad ndio waliosaidia entebe raid. Mossad ndo waliosaidia kumteka nyara mkuu wa usalama wa syria pale Bekaa vale mwaka 1982. mossad hana mpinzani!

wewe mtanzania gawana na waarabu machungu ya kunyang'anywa Msikiti wa Al aqsa na Israel mwaka 1967!!!!!!
 
Wabongo bwana hebu kueni welevu basi?? israeli ingeweza kuipiga gaza kwa siku moja ila vita sio km mnavofikiri nyie wanaabgalia na kuua raia wasio husika ndo maana walikua wanatoa warning ndo wanapiga mabom.Zile vita za kibabe km ww1 na ww2 mfano germany ilikua inavamia kibabe inaua hovyo hovyo lakini sasa hivi vita imekua ya kuangalia raia.Vita ya Ukraine na Russia imechukua mda mrefu sababu Russia habutui tu wanaangalia pia usalama wa raia wema .
vema sana mkuu. hawa wenzetu wana slogan ya 1947: ukinipiga umenionea ila ukiniachia ni mbabe wako. unajua hata mwaka 1976 israel ilipofauru kuokoa mateka wake pale entebe hawa wenzetu ule ulikuwa msiba mzito saana inasemekana colonel Qadafi alivunja TV na kuchoma moto sebure kwa uchungu!
 
😁😁😁😁😁😁
 
Alafu mbaya zaidi kieneo chenyewe ambapo wanashikiliwa ni sawa na nusu ya kigamboni bora hata pangekuwa pakubwa kama dar nzima.

Watu walio okoa mateka kutoka Uganda ambayo iko maelfu ya km kutoka nchini kwao , leo hii wameshindwa kuokoa mateka kutoka kieneo ambacho wamekuzunguka kila sehemu.
Ebu angalia ramani uone kigaza kinavyo lingana.View attachment 2822725
Hii ni vita na Ina mbinu nyingi, tusubiri mpaka mwisho ili tuujue mpango mzima wa Israel.

Halafu kumbe mpango wa Hamas ulikuwa ni kurusha makombora, kujificha mashimoni na kufa kama kunguni? Wafilisti ni wajinga sana
 
Alafu mbaya zaidi kieneo chenyewe ambapo wanashikiliwa ni sawa na nusu ya kigamboni bora hata pangekuwa pakubwa kama dar nzima.

Watu walio okoa mateka kutoka Uganda ambayo iko maelfu ya km kutoka nchini kwao , leo hii wameshindwa kuokoa mateka kutoka kieneo ambacho wamekuzunguka kila sehemu.
Ebu angalia ramani uone kigaza kinavyo lingana.View attachment 2822725
Afu sipati picture ingekuwa Hamasi kawachiwa huru aingize silaha kiulaini nadhani chini ya siku moja wangemchukua Banjamin Natanyahu kumuweka kwenye tunnel 😄

Sijui aibu hi wataificha wapi, mke wa Natanyahu alimtumia message mke wa Rais wa America awasaidie kumuokoa huyo matekwa waki Thailand kuwa anamimba, na media za Israel zikawa zinasrma uwongo kama mke wa Natanyahau eti Hamasi kachukua matekwa mmoja wao ni Mthailand ana mimba miezi tisa, kumbe yote ni uwongo tu.

Baba ya huyo Mthailand kakanusha hayo na company ambayo anafanya huyo mwanamke wamesema hawana mfanyakazi mwenye mimba 😄 Sijui aibu hi wataificha wapi

View: https://youtu.be/08tg0qUlt7c?si=21-VhcyiMLIcGrH1
 
Kwema Wakuu!

Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.

Nawatakia usiku Mwema
Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye mapumbuh? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas.

Utatoa hutoi? Sitoi... Kuuuh.... Utatoa hutoi.... Sitoi... Kuuuh. Utatoa hutoi. Natoa... Haya.... Kaa mkao wa kutoa. Hamas... Haya....

Mimi nilikuwa na bado nawashabikia Hamas. Nlikuwa nasema ni mtego tu wakiingia ndani watapata cha mtema kuni... Na wenzangu akina FaizaFoxy ,Sexless et all tulikuwa tunasema hawa Mayahudi wanategwa tu kuingia Gaza. Baadaye Maarabu yake yageuze kibao. Yawazunguke.... Kumbe hamna lolote. aliyekuwa anatupa hizo taarifa alikuwa muongo kama kawaida yake.

Sasa tumeona kuwa hali ni mbaya.... Kule Gaza... Hakukaliki tena. Hamas wameona basi yaishe.... Mambo yasiwe mengi. Sisi huku lakini haturudi nyuma tutaendelea kukomaa mimi ni Hamas wa kwa Mtogole na wenzangu mmoja wa Manzese mwingine wa Mabibo maji Matitu.

Hatukubali kushindwa... Na hao mateka sisi hatuwaachii... Kwanza kwa nini Israel haijagundua walipo? Si ilipaswa wagundue? Mbona wameendelea tu kutembeza kipigo kwetu na si kugundua walipo? Wametugonga sana. Wameua hadi kuku na bata wetu. Acha watoto ambao tuliwatumia kama kinga.
 
Back
Top Bottom