Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Tatizo la watu wafupi hunyiwa akili
Israel imevuliwa nguo hata Yemen kaamua atangaze vita ajipigie [emoji23]Wabongo bwana hebu kueni welevu basi?? israeli ingeweza kuipiga gaza kwa siku moja ila vita sio km mnavofikiri nyie wanaabgalia na kuua raia wasio husika ndo maana walikua wanatoa warning ndo wanapiga mabom.Zile vita za kibabe km ww1 na ww2 mfano germany ilikua inavamia kibabe inaua hovyo hovyo lakini sasa hivi vita imekua ya kuangalia raia.Vita ya Ukraine na Russia imechukua mda mrefu sababu Russia habutui tu wanaangalia pia usalama wa raia wema .
ApiaWabongo bwana hebu kueni welevu basi?? israeli ingeweza kuipiga gaza kwa siku moja ila vita sio km mnavofikiri nyie wanaabgalia na kuua raia wasio husika ndo maana walikua wanatoa warning ndo wanapiga mabom.Zile vita za kibabe km ww1 na ww2 mfano germany ilikua inavamia kibabe inaua hovyo hovyo lakini sasa hivi vita imekua ya kuangalia raia.Vita ya Ukraine na Russia imechukua mda mrefu sababu Russia habutui tu wanaangalia pia usalama wa raia wema .
WapareWazayuni ni wafupi?
Ukisoma uwezo wao kwenye makaratasi waweza hama sayari hiiKwema Wakuu!
Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.
Nawatakia usiku Mwema
SWALI NANI KAKALIA JERUSALEM. usijifariji kilio chako ni msikiti wa al aqsa na jiji la Jerusalem kukaliwaa na wajukuu wa rebecca.Nato nzima ilikuwa huko gaza wote wameangukia pua
wewe jifariji tuu. mwaka 1967 usiusahau. mataifa yote ya kiislamu yaliishambulia Israel na msaada wa MOSSAD ndio ulioifanya Israel ishinde vita kwa siku sita. kamasi au hamas ni kunguni tuu achafuaye vyumba na kutafutiwa diazon. je unaweza msifia kunguni ni kiboko cha mwenye nyumba ikiwa mwenye nyumba anauwezo wa kutumia diazon kuwafuta wote? Diazon ya mashariki ya kati ni Nukilia power!Kwema Wakuu!
Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.
Nawatakia usiku Mwema
vema sana mkuu. hawa wenzetu wana slogan ya 1947: ukinipiga umenionea ila ukiniachia ni mbabe wako. unajua hata mwaka 1976 israel ilipofauru kuokoa mateka wake pale entebe hawa wenzetu ule ulikuwa msiba mzito saana inasemekana colonel Qadafi alivunja TV na kuchoma moto sebure kwa uchungu!Wabongo bwana hebu kueni welevu basi?? israeli ingeweza kuipiga gaza kwa siku moja ila vita sio km mnavofikiri nyie wanaabgalia na kuua raia wasio husika ndo maana walikua wanatoa warning ndo wanapiga mabom.Zile vita za kibabe km ww1 na ww2 mfano germany ilikua inavamia kibabe inaua hovyo hovyo lakini sasa hivi vita imekua ya kuangalia raia.Vita ya Ukraine na Russia imechukua mda mrefu sababu Russia habutui tu wanaangalia pia usalama wa raia wema .
Wapare
ππππππvema sana mkuu. hawa wenzetu wana slogan ya 1947: ukinipiga umenionea ila ukiniachia ni mbabe wako. unajua hata mwaka 1976 israel ilipofauru kuokoa mateka wake pale entebe hawa wenzetu ule ulikuwa msiba mzito saana inasemekana colonel Qadafi alivunja TV na kuchoma moto sebure kwa uchungu!
Hii ni vita na Ina mbinu nyingi, tusubiri mpaka mwisho ili tuujue mpango mzima wa Israel.Alafu mbaya zaidi kieneo chenyewe ambapo wanashikiliwa ni sawa na nusu ya kigamboni bora hata pangekuwa pakubwa kama dar nzima.
Watu walio okoa mateka kutoka Uganda ambayo iko maelfu ya km kutoka nchini kwao , leo hii wameshindwa kuokoa mateka kutoka kieneo ambacho wamekuzunguka kila sehemu.
Ebu angalia ramani uone kigaza kinavyo lingana.View attachment 2822725
Afu sipati picture ingekuwa Hamasi kawachiwa huru aingize silaha kiulaini nadhani chini ya siku moja wangemchukua Banjamin Natanyahu kumuweka kwenye tunnel πAlafu mbaya zaidi kieneo chenyewe ambapo wanashikiliwa ni sawa na nusu ya kigamboni bora hata pangekuwa pakubwa kama dar nzima.
Watu walio okoa mateka kutoka Uganda ambayo iko maelfu ya km kutoka nchini kwao , leo hii wameshindwa kuokoa mateka kutoka kieneo ambacho wamekuzunguka kila sehemu.
Ebu angalia ramani uone kigaza kinavyo lingana.View attachment 2822725
Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye mapumbuh? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas.Kwema Wakuu!
Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.
Nawatakia usiku Mwema