Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Kwao kwa Moto,wanaweza pinduliwa wakitoka nje ya nchi zao ukizingatia wanatabia ya kupinduana wanapotoka nje ya nchi zao
 

MAENEO KAMA YALE YANA MAMBO MENGI, KUMBUKA HAWA WATU WAWILI HAWANA SIASA SAFI KATIKA NCHI ZAO. USISAHAU MUOSHA HUOSHWA NAE. KAGAME NAE ANAWINDWA. ALIMUWINDA PIERE MKRUNZINZA NAE SASA ZAMU YAKE. UNAWEZA KUKUTA KWAMBA ALITAMANI KUONA SURA YA MAGUFULI KULIKO WATANZANIA LAKINI AKAAMBIWA WEKA MATAKO CHINI. HISTORICALLY KAGAME NI MUOGA SANA INGAWA ALIKUWA JESHINI. UOGA WAKE HAUELEZEKI HATA KIDOGO
 
Kwani ujaona wawikilishi wao au lazima wangeshiriki wao tu? Mbona ujahoji rais wa Burundi au Ethiopia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…