Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Acha uongo na porojo zisizokuwa na msingi wowote.
Lipi la uongo nililosndika hapo.Kwani si kweli kwamba Kagame na Museveni ni watoto wa Marekani,na wanasaidia kuendeleza guerilla wars Congo DRC,ili Wamarekani,Israel na other Western countries waendelee kuiba resources za Congo.Hivi mkuu unapata faida gani kutetea waovu hawa,au na wewe wanakugawiaaa....!

Hivi mkuu unadhani kwa nini mapigano Congo DRC hayaishi na kwa nini Wakongomani ni maskini despite all the resources in their country?
 
Wakongomani ni maskini kulinganisha na wakina nani?Mbona Afrika mashariki wote ni maskini tu na budget zao wote bado zinategemea mabeberu kama kawaida tu.

Nitajie nchi 1 ya E/Africa isiyotegemea mabeberu kupewa mikopo,grants,madawa ya VVU,TB etc
 
Mkuu unajua mambo mengine wala hayahitaji kubishana.Kama wewe ni msomaji mzuri,you should know what happened in the Congo DRC under Mobutu and the effects of his rule on the Congolese people.Sikatai kwamba Africans are generally poor kwa sababu ya mismanagement of their economies by their neo-colonial puppet President's, but DRC Congo is worse.
Ninacho-ongelea hapa ni comparative terms mkuu!
 
Wewe unaweza kwenda kuzika jitu ambalo limekufa kwa Corona halafu nchi yenyewe haichukui tahadhari yoyote dhidi ya Corona?
 
Mkuu samahani.Naomba unipe your education background,ili nione kama kweli una uwezo wa kutenganisha pumba na mchele with regards to C-19.Kama wewe sio Microbiologist au Virologist, huna haki ya kuongelea anything to do with the science of C-19,sana sana utapotosha watu.Please play it low.
 
Wewe ni mbumbumbu!
 
Wewe ni mbumbumbu!
Mimi ni mbumbu?You are joking.Nimekuambia nipe background yako ili nijue kama kweli una knowledge ya kuweza kushauri anybody regarding C-19.Maana wengi mnasambaza udaku tu na kupotosha watu.
 
Mu eight hatoki ng'o kiti amwachie Nani wakati kijana anasumbua. Kagame kusema ukweli huwa simuelewi elewi
 
Rwanda ukiaga kwa koroo unapaswa kuzikwa nawatu wachache tena nduguzo wakaribu...
 
Mimi ni mbumbu?You are joking.Nimekuambia nipe background yako ili nijue kama kweli una knowledge ya kuweza kushauri anybody regarding C-19.Maana wengi mnasambaza udaku tu na kupotosha watu.
Nimepotosha watu kwa lipi?Tuanzie hapo.
 
Madikteta wanaogopa sana kifo
Afu sijui kwanini madikteta wengi wanakufa kwa magonjwa ya moyo. Nashangaa kuna uhusiano gani kati ya udikteta na ugonjwa wa moyo. Sani Abacha, Mobutu Seseko, Pinochet, Hitler, Musolin na Moi wote walikufa kwa maradhi ya moyo. 🙄 🙄 🙄 🙄
 
Wanaishi kwa hofu na stress sana
 
hao watakuja Chato au makaburini
Mpaka muda huu bado hawajafika huko Chattle mkuu. Labda watakuja makaburini usiku kama wachawi. Hawa jamaa ni WANGA wa kutupwa! Inabidi kwa kweli tuwaangalie kwa jicho la 3 ndani ya EAC, hata ikibidi tuwafukuze uanachama. Hawafai kabisa hawa mbwa mwitu, watakuja kutuharibia EAC yetu.
 
Lipi la uongo nililosndika hapo.Kwani si kweli kwamba Kagame na Museveni ni watoto wa Marekani,na wanasaidia kuendeleza guerilla wars Congo DRC,ili Wamarekani,Israel na other Western countries waendelee kuiba resources za Congo.Hivi mkuu unapata faida gani kutetea waovu hawa,au na wewe wanakugawiaaa....!

Hivi mkuu unadhani kwa nini mapigano Congo DRC hayaishi na kwa nini Wakongomani ni maskini despite all the resources in their country?
Mbona Uchina swahiba mkuu wa Tanzania hujamtaja kwenye nchi ambazo ni wezi wa rasilimali za Congo DRC ???
Hujawataja wakina Mugabe, Do Santos na Munangagwa walioibia Zaire dhabau zenye thamani ya USD 5 Billion.
 
Swali lilikuwa kwa nini Museveni na Kagame hawajaja kumuaga Magufuli,sio nani anaiba natural resources za DRC Congo Malcolm.
 
Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli.

Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi kujiingiza kwenye utata wowote ndani ya EAC mbali na lile tukio ambalo Kenya iliishawishi Uganda kusaini makubaliano ya ujenzi wa reli kutoka Mombasa hadi Kampala pasipo kuishirikisha Tanzania.

Utawala wa hayati Rais Magufuli ulikuwa unafanana sana na ule wa Kagame, hadi watu kufikia hatua ya kudhani kuwa huenda staili yake ya utawala alikuwa ameinakili kutoka kwa Kagame. Pia Museveni amekuwa mara kwa mara akiitembelea Tanzania na amesikika mara nyingi akiufagilia utawala wa hayati Magufuli.

Sasa swali ni ni: Je, kwanini Kagame na Museveni wametuma wawakilishi kuja kuomboleza kifo cha Magufuli lakini Kenyatta amekuja yeye mwenyewe mubashara? Hawa majirani wawili wanaogopa nini kuja Tanzania? Is there any hidden agenda behind their absecnce in this crucial occasion?

Marais wametoka all the way from Southern Africa up to Tanzania lakini hawa jamaa wapo hapa karibu wame-mute tu! Kama nauli ya ndege ni tatizo wangeweza kusafiri hata kwa basi na kufika Dodoma mapema kabisa kumuaga kiongozi mwenzao aliyelala mauti. Hata wangeweza kukodi basi moja wakasafiri wote kwa pamoja ili kuokoa gharama. Lakini wameamua, kwa makusudi kabisa, kutuma wawakilishi. Je, hii ni sawa?
Demokrasia yao na ile ya TZ ni tofauti. Sisi tuna "term limits" wao hawana. Wakishabikia ya huko wataambiwa mbona nyumbani kwao hawana "term limits" kama sisi?
 
Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli.

Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi kujiingiza kwenye utata wowote ndani ya EAC mbali na lile tukio ambalo Kenya iliishawishi Uganda kusaini makubaliano ya ujenzi wa reli kutoka Mombasa hadi Kampala pasipo kuishirikisha Tanzania.

Utawala wa hayati Rais Magufuli ulikuwa unafanana sana na ule wa Kagame, hadi watu kufikia hatua ya kudhani kuwa huenda staili yake ya utawala alikuwa ameinakili kutoka kwa Kagame. Pia Museveni amekuwa mara kwa mara akiitembelea Tanzania na amesikika mara nyingi akiufagilia utawala wa hayati Magufuli.

Sasa swali ni ni: Je, kwanini Kagame na Museveni wametuma wawakilishi kuja kuomboleza kifo cha Magufuli lakini Kenyatta amekuja yeye mwenyewe mubashara? Hawa majirani wawili wanaogopa nini kuja Tanzania? Is there any hidden agenda behind their absecnce in this crucial occasion?

Marais wametoka all the way from Southern Africa up to Tanzania lakini hawa jamaa wapo hapa karibu wame-mute tu! Kama nauli ya ndege ni tatizo wangeweza kusafiri hata kwa basi na kufika Dodoma mapema kabisa kumuaga kiongozi mwenzao aliyelala mauti. Hata wangeweza kukodi basi moja wakasafiri wote kwa pamoja ili kuokoa gharama. Lakini wameamua, kwa makusudi kabisa, kutuma wawakilishi. Je, hii ni sawa?
Labda walihofia corona 19 au South Africa variant maana sie hatuvai barakoa.ila wameshachanja.wameoenekana live na wake zao.
 
Back
Top Bottom