Kitendo cha Mwakalebela kuita waandishi na kulalamika ni Ushamba

bora umeongea wewe Yanga mwenzake. hii nguvu anayotumia si bora angeimarisha kikosi?
Jamaa ni mjinga sana.

Acheza mchezo wa kizamani mno. Anashindwa kuwajibika na matokeo ya sare katika game 2 za Yanga anaanza kumtafuta mchawi ambaye hausiki kabisa na muenendo mbaya wa matokeo.
 
Mkuu tulia Basi uandike vizuri, mbona Kama umedata!!

Toka mwanzo Hadi mwisho hakuna mkato wala nukta, kweli??😀😀😀😀😀
Kijana ameshiba usipa m'bici wa Kyela. Anashindwa kutumia hata hand-break.
 
Mechi za CAF za simba zinahusiana vipi na Muenendo wa Yanga SC?

Kwamba Simba wakifungwa na Al Ahly na Al Merekh points zake kwenye msimamo wa ligikuu zitapungua? SIJAKUSOMA.
 
Mechi ya kesho inabidi wapoteze ili mashabiki waingie uwanjani watembeze kipigo kwa huyu Mwakajinyea.

Halafu ndio wajitoe kwenye ligi
 
Tatizo viongozi wenu wamewaona nyie ni mazuzu!!wanatafuta pa kuangushia zigo, na nyie mmeshaingia chaka!!yaani kweli suala la waamuzi nalo ni la kuita waandishi wa habari na kuanza kulia lia?!!GUTUKENI
Sie wenyewe tunaangalia mpira mkuu, tuna macho na akili timamu
 
Hakuna point hata moja uliyojibu toka kwenye hoja za mtoa hoja umebakia kuzusha mengine ya mtaani ya MO ambayo hayana mantiki kwa mtu anayejua akisemacho

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Point aitoe wapi na mshambuliaji wao NCHIMBI ambae hata timu ya familia yake hapati namba.
 
Hahahah... huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Kuandika tu hujui, utajua soka la bongo, halafu huo ubingwa wa Yanga msimu huu unadhani unakuja kirahisi tu kama kuandika pumba kama hizi?

Badala ya kujipanga na kujibu hoja zilizopo Jukwaani wewe unaleta shobo kwa Waarabu..Unajua alifanya nini February 12, 2019 kwa Mkapa, Simba Vs Al Ahly
 
Kwa hivyo Yanga ndio timu ya kwanza duniani kuonewa na waamuzi uwanjani?

Umeona wapi kiongozi wa ngazi ya juu wa klabu akiitisha vyombo vya habari na kutishia kuwa timu itajitoa kwenye ligi?

Kuna namna ya kusolve changamoto, sio ile.
Unaisolveje changamoto wakati tff yote ni simba tupu, hakuna pa kupenyea. Kesi ya ngedere unampelekea nyani kuna kitu hapo?!

Mechi tunaangalia zote za simba na yanga, penye uonevu panaonekana wazi tu.

Hizo danadana za kesi za yanga mnadhani hatuoni

Kuna haja gani ya kuendelea kucheza kama mmeishapanga bingwa, si bora kujiondoa mjitangaze kabisa.
 
Hoja unaielewa sema unajitoa ufahamu tu.

Waamuzi wachezeshe fair siyo kupewa maelekezo maalumu
 
sasa povu la nini? Mimi kusema yanga watakua mabingwa msimu huu wewe unaumia.
Halafu acha kukariri sijui simba alifamfanya nini mwarabu kwa mkapa hiyo ilishapita, kwani wewe ukumbuki simba ilichezea hamsa kwa vita pale Congo lakini juzi Kati mmeshinda licha ya kua mlikua mmepaki treni nyuma,
Kwa taarifa yako tu mwarabu lazima awatoboe jumanne
 
Mechi za CAF za simba zinahusiana vipi na Muenendo wa Yanga SC?

Kwamba Simba wakifungwa na Al Ahly na Al Merekh points zake kwenye msimamo wa ligikuu zitapungua? SIJAKUSOMA.
Hujui kitu wewe, kwanini washabiki wasimba wanatamba kua simba kumfunga vita kumewaondoa yanga kwenye focus
Hiyo ni saikolojia ndogo tu utopofanya vibaya huko lazima pressure itakua kubwa kutoka kwa mashabiki wenu na wale wa upande wa pili hivyo wachezaju ni rahisi kupoteza morali kwani watakua wanacheza kwa pressure ili kutuliza atmosphere na hapo ni rahisi kwa kupoteza hata mechi za ligi kuu, na hii ndio kitu kimetokea kwa yanga hizi sare zimewapoteza kwenye Focus pressure imekua kubwa kutoka kwa mashabiki wa yanga hata wa upande mwingine pamoja na viongozi, na matokeo yake ndio hayo tuyaona
Japo mimi nahamini msimu yanga ana nafasi kubwa ya kua bingwa kuliko timu yoyote ile ya ligi kuu
 
Duuh, ndoto hizi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…