Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki vipi?
Jamaa ni mjinga sana.bora umeongea wewe Yanga mwenzake. hii nguvu anayotumia si bora angeimarisha kikosi?
Mechi za CAF za simba zinahusiana vipi na Muenendo wa Yanga SC?Yajayo yanafuraisha, kama ulijui soka la bongo utaumia sana, kuanzia jumatano tutaanza kuongea lugha nyingine kwani huu upepo unaenda kubadali muelekeo soon, mimi binafsi wala sina wasiwasi na Yanga kwani huu msimu ubingwa ni lazima
Sema kuna bahadhi ya wanayanga wana pressure bado hawajiamin lakini 100% msimu huu yanga bingwa.
Jumanne mwarabu anakuja kufix mambo pale kwa mkapa, then waarabu koko wa Sudan watamaliza kabisa ngebe za hawa jamaa ndipo atmosphere ya huu mji itarudi Kama zamani
Kwani mkuu hujawahi kukutana na mtu anaongea.. ila hata yeye mwenyewe hajui anachokiongeaMechi za CAF za simba zinahusiana vipi na Muenendo wa Yanga SC?
Kwamba Simba wakifungwa na Al Ahly na Al Merekh points zake kwenye msimamo wa ligikuu zitapungua? SIJAKUSOMA.
Sijakusoma. Sijui unajadiri hoja ipi...
Sie wenyewe tunaangalia mpira mkuu, tuna macho na akili timamuTatizo viongozi wenu wamewaona nyie ni mazuzu!!wanatafuta pa kuangushia zigo, na nyie mmeshaingia chaka!!yaani kweli suala la waamuzi nalo ni la kuita waandishi wa habari na kuanza kulia lia?!!GUTUKENI
Point aitoe wapi na mshambuliaji wao NCHIMBI ambae hata timu ya familia yake hapati namba.Hakuna point hata moja uliyojibu toka kwenye hoja za mtoa hoja umebakia kuzusha mengine ya mtaani ya MO ambayo hayana mantiki kwa mtu anayejua akisemacho
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Hahahah... huko shuleni ulienda kusomea ujinga?Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion
Kuandika tu hujui, utajua soka la bongo, halafu huo ubingwa wa Yanga msimu huu unadhani unakuja kirahisi tu kama kuandika pumba kama hizi?Yajayo yanafuraisha, kama ulijui soka la bongo utaumia sana, kuanzia jumatano tutaanza kuongea lugha nyingine kwani huu upepo unaenda kubadali muelekeo soon, mimi binafsi wala sina wasiwasi na Yanga kwani huu msimu ubingwa ni lazima
Sema kuna bahadhi ya wanayanga wana pressure bado hawajiamin lakini 100% msimu huu yanga bingwa.
Jumanne mwarabu anakuja kufix mambo pale kwa mkapa, then waarabu koko wa Sudan watamaliza kabisa ngebe za hawa jamaa ndipo atmosphere ya huu mji itarudi Kama zamani
Akili timamu za kutaka kumpiga makofi Mshindo Msola..Sie wenyewe tunaangalia mpira mkuu, tuna macho na akili timamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jifunze kuandika ukizingatia comma na nukta ewe utopolo.
Unaisolveje changamoto wakati tff yote ni simba tupu, hakuna pa kupenyea. Kesi ya ngedere unampelekea nyani kuna kitu hapo?!Kwa hivyo Yanga ndio timu ya kwanza duniani kuonewa na waamuzi uwanjani?
Umeona wapi kiongozi wa ngazi ya juu wa klabu akiitisha vyombo vya habari na kutishia kuwa timu itajitoa kwenye ligi?
Kuna namna ya kusolve changamoto, sio ile.
Hoja unaielewa sema unajitoa ufahamu tu.Kwamba zile 3 mulizoruhusu kufungwa hazikua halali? Kama team inaweza kufungwa goli 3, kisha ikakaa kutegemea huruma/ favor ya mwamuzi ni kichekesho cha mwaka. Ni mara ngapi Yanga imeshapewa penalty na opponent wakalaumu, na mara ngapi imenyimwa wakalaumu?
Ukweli ni kwamba team kutegemea huruma ya mwamuzi ujue haina jipya.
Kama Kagera wangeshinda goli 2 na Yanga wakashinda goli 3 unafikiri kelele hizi zingetokea? Kosa lao ni kukubali kufungwa magoli mengi na wao wakawa wanasawazisha.
Bado iko safari ndefu kwa Yanga, viongozi wawe wakweli, waijenge team. Team siyo kuikamia Simba tu, team lazima iwe focused!
sasa povu la nini? Mimi kusema yanga watakua mabingwa msimu huu wewe unaumia.Kuandika tu hujui, utajua soka la bongo, halafu huo ubingwa wa Yanga msimu huu unadhani unakuja kirahisi tu kama kuandika pumba kama hizi?
Badala ya kujipanga na kujibu hoja zilizopo Jukwani wewe unaleta shobo kwa Waarabu..Unajua alifanya nini kwa Mkapa, Simba Vs Al Ahly
Hujui kitu wewe, kwanini washabiki wasimba wanatamba kua simba kumfunga vita kumewaondoa yanga kwenye focusMechi za CAF za simba zinahusiana vipi na Muenendo wa Yanga SC?
Kwamba Simba wakifungwa na Al Ahly na Al Merekh points zake kwenye msimamo wa ligikuu zitapungua? SIJAKUSOMA.
Hujui kitu wewe, kwanini washabiki wasimba wanatamba kua simba kumfunga vita kumewaondoa yanga kwenye focus
Hiyo ni saikolojia ndogo tu utopofanya vibaya huko lazima pressure itakua kubwa kutoka kwa mashabiki wenu na wale wa upande wa pili hivyo wachezaju ni rahisi kupoteza morali kwani watakua wanacheza kwa pressure ili kutuliza atmosphere na hapo ni rahisi kwa kupoteza hata mechi za ligi kuu, na hii ndio kitu kimetokea kwa yanga hizi sare zimewapoteza kwenye Focus pressure imekua kubwa kutoka kwa mashabiki wa yanga hata wa upande mwingine pamoja na viongozi, na matokeo yake ndio hayo tuyaona
Japo mimi nahamini msimu yanga ana nafasi kubwa ya kua bingwa kuliko timu yoyote ile ya ligi kuu