Kitendo cha Mwakalebela kuita waandishi na kulalamika ni Ushamba

Daaah,zile tambo kuwa wanabeba ndoo zimeishia wapi jamani? Swala la morisson hawalizungumzii tena,hizi ni dalili kuwa dozi inawaingia sawa sawa.
Walianza kuwa mashabiki wa kila mpinzani wa simba kimataifa ila kila waliyemshabikia aliishia kutafunwa na mnyama dili likaharibika,sasa wameanza kutafuta vijisababu
All in all yanga kikosi hakijitoshelezi,na nawataarifu tu mkijidanganya kujitoa ligi kuu mwende ligi ya zanzibar mtakutana kule na mnyama anaitwa mla ndege.
kutoka kampa kampa tena mpaka kulilia penati
 
Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion
Hakuna point hata moja uliyojibu toka kwenye hoja za mtoa hoja umebakia kuzusha mengine ya mtaani ya MO ambayo hayana mantiki kwa mtu anayejua akisemacho

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion

Mkuu tulia Basi uandike vizuri, mbona Kama umedata!!

Toka mwanzo Hadi mwisho hakuna mkato wala nukta, kweli??😀😀😀😀😀
 
Mimi ni shabiki wa Yanga kama nijulikanavyo hapa jukwaani.

Ila nimeshangaa kinoma kuona Mwakalebela akiitisha vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuhusu kuonewa na waamuzi viwanjani, cha ajabu zaidi anasema kuwa Yanga itajitoa kwenye ligi endapo changamoto alizozisema zikiendelea. Binafsi ninaona ni ujinga wa kiwango cha juu zaiidi kwa kiongozi mkubwa kama yule wa klabu kufanya jambo kama lile la kijinga.

Ni kweli changamoto ya uamuzi imeonekana, lakini sio sababu ya Timu kushindwa kufanya vizuri mpaka uitishe vyombo vya habari na kuanza kuwalalamikia wengine kwa makosa yao wenyewe viongozi. Kushindwa kupata matokeo mazuri recently kumetokana na machaguo ya kijinga ya mwalimu na sio kwa sababu ya kunyimwa penati.

Ushamba huu iliwahi kufanywa na Haji Manara alipokuwa anaita waandishi wa habari akiwa na Flat Screen akionyesha jinsi Simba ilivyokuwa inanyimwa penati. Sasa inakuwaje kiongozi wa juu wa hadhi yake arudie kufanya ushamba wa aina hii?

Ametukera na kutuudhi wengi.
Asee na Mimi ni shabiki wa Yanga nimeshangaa wanayanga wenzangu wengi wengi wanalalamika vijiweni!!! Kulikoni?
 
Ni kweli waamuzi wanaionea sana Yanga bana, acheni ukweli usemwe.

Tunaangalia mechi za simba na pia tunaona mechi za yanga.
Kwamba zile 3 mulizoruhusu kufungwa hazikua halali? Kama team inaweza kufungwa goli 3, kisha ikakaa kutegemea huruma/ favor ya mwamuzi ni kichekesho cha mwaka. Ni mara ngapi Yanga imeshapewa penalty na opponent wakalaumu, na mara ngapi imenyimwa wakalaumu?

Ukweli ni kwamba team kutegemea huruma ya mwamuzi ujue haina jipya.

Kama Kagera wangeshinda goli 2 na Yanga wakashinda goli 3 unafikiri kelele hizi zingetokea? Kosa lao ni kukubali kufungwa magoli mengi na wao wakawa wanasawazisha.
Bado iko safari ndefu kwa Yanga, viongozi wawe wakweli, waijenge team. Team siyo kuikamia Simba tu, team lazima iwe focused!
 
Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion
We Uto...Huyu demigod ni Yanga tunafahamu vilivyo na huwa tunakuwa na mjadala ya maana sana hapa Jukwaani.

Kwahivyo tulia apige Spana timu yake..!
 
Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion
Kunywa maji kwanza, unaonekana una hasira sana uto namba moja
 
Mi najiuliza hivi yule Mwakalebela aliyekuwa Tff na huyu wa yanga ni mmoja, kama ni mmoja kwanini alipokuwa Tff alifanya kazi vizuri lakini alipokuja yanga amekuwa utopolo.
Tatizo linaweza kuwa yanga au Mwakalebela binafsi.

Kufanya kazi TFF ni rahisi mno kuliko kufanya kazi katika klabu yenye historia kubwa ya mafanikio kama Yanga.

Inahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kuenenda na presha ya wafuasi wa klabu na wakati huo huo kufanya maamuzi kwa kutumia Ubongo na sio kutumia nyama-nyama za tumboni.
 
Ni kweli waamuzi wanaionea sana Yanga bana, acheni ukweli usemwe.

Tunaangalia mechi za simba na pia tunaona mechi za yanga.

Kwa hivyo Yanga ndio timu ya kwanza duniani kuonewa na waamuzi uwanjani?

Umeona wapi kiongozi wa ngazi ya juu wa klabu akiitisha vyombo vya habari na kutishia kuwa timu itajitoa kwenye ligi?

Kuna namna ya kusolve changamoto, sio ile.
 
Yajayo yanafuraisha, kama ulijui soka la bongo utaumia sana, kuanzia jumatano tutaanza kuongea lugha nyingine kwani huu upepo unaenda kubadali muelekeo soon, mimi binafsi wala sina wasiwasi na Yanga kwani huu msimu ubingwa ni lazima
Sema kuna bahadhi ya wanayanga wana pressure bado hawajiamin lakini 100% msimu huu yanga bingwa.
Jumanne mwarabu anakuja kufix mambo pale kwa mkapa, then waarabu koko wa Sudan watamaliza kabisa ngebe za hawa jamaa ndipo atmosphere ya huu mji itarudi Kama zamani
 
Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion

Joined Jan 11, 2020
 
Yajayo yanafuraisha, kama ulijui soka la bongo utaumia sana, kuanzia jumatano tutaanza kuongea lugha nyingine kwani huu upepo unaenda kubadali muelekeo soon, mimi binafsi wala sina wasiwasi na Yanga kwani huu msimu ubingwa ni lazima
Sema kuna bahadhi ya wanayanga wana pressure bado hawajiamin lakini 100% msimu huu yanga bingwa.
Jumanne mwarabu anakuja kufix mambo pale kwa mkapa, then waarabu koko wa Sudan watamaliza kabisa ngebe za hawa jamaa ndipo atmosphere ya huu mji itarudi Kama zamani
Nawaombea Mungu awajaali kupona hiyo 'trauma'mapema
 
Mimi ni shabiki wa Yanga kama nijulikanavyo hapa jukwaani.

Ila nimeshangaa kinoma kuona Mwakalebela akiitisha vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuhusu kuonewa na waamuzi viwanjani, cha ajabu zaidi anasema kuwa Yanga itajitoa kwenye ligi endapo changamoto alizozisema zikiendelea. Binafsi ninaona ni ujinga wa kiwango cha juu zaiidi kwa kiongozi mkubwa kama yule wa klabu kufanya jambo kama lile la kijinga.

Ni kweli changamoto ya uamuzi imeonekana, lakini sio sababu ya Timu kushindwa kufanya vizuri mpaka uitishe vyombo vya habari na kuanza kuwalalamikia wengine kwa makosa yao wenyewe viongozi. Kushindwa kupata matokeo mazuri recently kumetokana na machaguo ya kijinga ya mwalimu na sio kwa sababu ya kunyimwa penati.

Ushamba huu iliwahi kufanywa na Haji Manara alipokuwa anaita waandishi wa habari akiwa na Flat Screen akionyesha jinsi Simba ilivyokuwa inanyimwa penati. Sasa inakuwaje kiongozi wa juu wa hadhi yake arudie kufanya ushamba wa aina hii?

Ametukera na kutuudhi wengi.
Alafu kuna picha anaemlalamikia yupo na GSM anakula wali. Na biriani
 
Ni kweli waamuzi wanaionea sana Yanga bana, acheni ukweli usemwe.

Tunaangalia mechi za simba na pia tunaona mechi za yanga.
Tatizo viongozi wenu wamewaona nyie ni mazuzu!!wanatafuta pa kuangushia zigo, na nyie mmeshaingia chaka!!yaani kweli suala la waamuzi nalo ni la kuita waandishi wa habari na kuanza kulia lia?!!GUTUKENI
 
Back
Top Bottom