Kwamba serikali inaamua ijichafue yenyewe?Kama anahusika asitajwe ,?? Watanzania ni vichwa maji sana ,hakuna mtu mwenye akli timamu anaweza hangaika na ripoti ya CAG , ni ripoti flan hv ya kuwafanya watanzania wawe busy kujadili
Lazima wamdharau tu; haiwezekani watu wanapiga pesa mtu amekaa kimya. Ni kweli mama anahusikaHuyo ameamua kumtaja kwasababu anamdharau na amemuona kitonga. Hivi kweli enzi za giza angethubutu kumhusisha bwana yule na wizi wao?
Yaani mpaka hapo lingekua lishamkuta jambo
Akili huna. JPM aliacha invoice ya 37M bwana zako waneongeza Uko hapa unaandika upumbavuNa mimi naamini kuwa hili deal lilifanywa na mwendazake akiwa na watu wake kule BOT na Hazina tayari palikuwa na MTU wake SASA mama kaingia akafanya mabadiliko ya ghafla hapo ndipo lilipobumbuluka na vocha ilipokuja ikabidi wafanye nao "Betting" wapime kina cha maji wakakuta mzanzibari kiberiti kimejaa sio Tena kama vile viberiti vya zamani vya Kibo match box toka Moshi.,MKEKA UMECHANIKA
Atupishe si kahusikaMwinguru hapo amesema toka awamu ya nne imekuwa ikifanyika hivyo... Mm kama mwananchi wa kawaida nimepata majibu... ndio maana hakuna wa kukamatwa hata kama wageiba fedha zote za bajeti ya mwaka fedha... so far rais hashitakiwi... Asanteni Sana.
Nyie ndio mnaopenda kusema mama ametoa pesa kwahiyo zikiibwa lazima atakuwa anaujua wizi huo kwani hizo pesa huwa hazitelekezi barabarani.Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .
Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.
Aliposema wale kwa yrwfu wa kamba zao hukumwelewa?Kwa hivyo hate wizi kaidhinisha Rais?. Kweli kazi ipo.
Mama ndiye anayemkabidhi atakayezipiga, zikipigwa anapata kigugumizi kumuuliza aliyemkabidhi anakuja kunilalamikia mimi ambaye ninalalamika pia! Anajua zilikokwenda.Mzee wa TRAB na TRAT ni kawaida yake kujikanyaga anapobanwa ila anakula mno "Stupid"
Huko ndiko tunaelekea wanakusanya points mda huiHawa jamaa wataanza mgeuka rais kuelekea msimu wa uchaguzi..............
Pete na kidolemlipaji mkuu na muhidhinishaji mkuu
Vishikwambi vya sensa 10 billions.
Karibuni chato.
Pumbavu zako mjadili mama yenu aliyeshindwa kuendesha nchi achana na JPM! Mnapenda sana kujificha kwa Magufuli! Wajinga sana mkosoe Mama yenu!
Wala hakuna utata au chochote cha ajabu, Waziri yuko sahihi, hajakosea chochote, sijaona kosa lolote, Waziri hajamtaja Rais kuhusika na ufisadi..
Lazima wa, usharau tu; haiwezekani watu wanapiga pesa mtu amekaa kimya. Ni kweli mama anahusika
Aliposema wale kwa yrwfu wa kamba zao hukumwelewa?
Huu utaratibu wa fedha za nchi kuitwa za MTU FULANI tulisema ipo siku itawatokea puani. Kama wanawaaminisha Wananchi zahanati imejengwa na Samia, Kwa nini wanakataa zinapoliwa hazijaliwa na Samia?? Ukitaka Sana sifa jua na dhihaka inakunyemelea.Mama ametoa hela ndio ulikuwa wimbo wa kila mahali
USSR