Inakuwaje Wanajamvi!
Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha mwanadada mrembo na mjasiriamali alipokuwa akimtangazia biashara yake ya nguo na viatu na kuweka video kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Ikumbukwe huyo mrembo ni mke wa mtu. Wadau tumesikitika na kuumia sana wengine tukimuonea wivu na husda Mwijaku.
Soma Pia:

- Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika
- Mahakama yampa Mwijaku siku 21 kuwasilisha utetezi wake katika kesi dhidi ya Kipanya