Kitendo cha Mwijaku kumshikashika miguu mke wa mtu na kuweka kwenye Facebook yake siyo maadili wengi tumeumia sana

Kitendo cha Mwijaku kumshikashika miguu mke wa mtu na kuweka kwenye Facebook yake siyo maadili wengi tumeumia sana

Asee mtu wangu wa nguvu wivu unakuja mwijaku anafaidi pekee yake. Ingekuwa mimi ni yeye mwijaku nampiga mtama huyo demu baada ya hapo nakuhakikishia hatatembea tena vizuri maishani atakuwa anachechemea
Mbona ni lishangazi lililotepeta sana sema minyama imebeba shape ya nguo. Kama upepo kwenye tube. Mnawezaje kulitamani ndugu zangu? Mimi napenda English body mild blacks.
 
Una roho mbaya sana. Sisi tumemeonea wivu Mwijaku kwa kushika hiyo mali safi.
 
Hafsa collection ....jichanganye akufilisiii.....maatufu huyooo...hafugikii
 
Inakuwaje Wanajamvi!

Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha mwanadada mrembo na mjasiriamali alipokuwa akimtangazia biashara yake ya nguo na viatu na kuweka video kwenye ukurasa wake wa Facebook. Ikumbukwe huyo mrembo ni mke wa mtu. Wadau tumesikitika na kuumia sana wengine tukimuonea wivu na husda Mwijaku.

View attachment 2987306View attachment 2987307View attachment 2987308View attachment 2987310
Duh
 
Back
Top Bottom