Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kova ndiye anafanya haya mjue!Kala mali ya boss basi ndio wameanza kuleta upuuzi kwa Mkude.
Mario Ballotel mwenyewe pamoja na vitimbwi vyote hakuwahi kupimwa akili sasa hawa mikia fc inabidi tuwashangae tu.
Umenena mkuuMkude ana matatizo binafsi, Kwenye makuzi kuna error.
ukiacha ubavicha wako huwa una mawazo mazuriNi kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu , lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana .
Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba ?
Mkuu nimesoma ile taarifa mara kumi kumi ila sijaona sehemu wamesema Mkude aende Muhimbili Kwa ajili ya kupima Akili....!Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu , lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana .
Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba ?
Tuendelee kusubiriMkuu nimesoma ile taarifa mara kumi kumi ila sijaona sehemu wamesema Mkude aende Muhimbili Kwa ajili ya kupima Akili....!
Inawezekana kwenye utetezi wake amesema alikuwa anaumwa na kapeleka vyeti za hospital za vichochoroni, kama umesoma utajua mambo kama haya wanafunzi wamefanya Sana kama visingizio vya kukwepa adhabu Kwa kupeleka vyeti vya matibabu feki
sasa ili kujiridhisha inachaguliwa hospital moja ambayo ndio inapaswa kutoa vyeti vya matibabu, ndo walichofanya Simba ni kumtaka Mkude akapime Muhimbili Kwa sababu ni hospital ya uhakika ili kujiridhisha kama ni kweli alikuwa anaumwa na kupelekea yeye kufanya makosa ambayo anahukumiwa
Tuwe makini Sana kwenye kuandika haya mambo mengine, wewe unachokifanya ndio udharirishaji wenyewe
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Hakika tusubiri ila kwenye kumuacha bila kumpima nakubaliana na wewe kwasababu"sikio la kufa halisikii dawa"Tuendelee kusubiri