Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Ama kweli tenda wema nenda zako, na Fraga alitenda wema kaenda zake, na sasa anahangaika kujitibu yeye na familia yake huku club ya Simba ikiwa imemtelekeza, kwa kweli hii ndio tabia ya Wahindi kutumikisha watu ikitokea shida kwa mfanya kazi Mhindi huwa hana time tena. Pole Fraga