Mhindi alisema club haina pesa, watamuhudumiaje Sasa? Na mhindi anaurafiki kwenye kumzalishia mali tu ukipata shida utajijua mwenyewe.Sidhani kama imemtelekeza Fraga alikuwa na mkataba hadi mwezi December hivyo ni wajibu wa club kumhudumia sema hawajaongeza.mkataba
Nguruwe katika ubora wao wa kuterekeza mchezaji, kwa mhindi hakuna cha kipengere wala mkataba, uliza wanaofanya kazi kwa wahindi watakuambiaNyani katika ubora wake, kwenye mikataba kuna vipegere vya kumia uwanjani na fidia zake, kuvunja mkataba na fidia zake koo simba ni tasisi
Kwa hiyo mhindi Mud amecopy aliyofanyiwa Tshishimbi akapest kwa kumfanyia Fraga!!watu wengine muwege na akili timamu mnajitia mnahuruma na upande msio upenda, mbona Tshishmbi alikuwa team capten wenu baada ya kujeruhika goti mkamuacha akarud congo huku mkimdhihaki kuwa goti lake limeoza, acha unafiki wew ndo mana manara amewaambia msiende kutupigia kelele kule mbaki nyumbani mlalamikie chooni uko
eti Yanya! Kweli nyie Yanya endeeeni kunya tu nyie Watopolo.Yanya ya wananchi , mikia aka mnyero fc ni ya mhindi.