Kitendo cha Simba SC kumtelekeza Fraga ni cha kinyama sana

Utopolo mnakomalia swala la Fraga wakati Mapinduzi Balama amepelekwa South Africa baada ya watu kupiga kelele
 
Utopolo mnakomalia swala la Fraga wakati Mapinduzi Balama amepelekwa South Africa baada ya watu kupiga kelele
Bila shaka na nguruwe mtaanza kumtibu fraga baada ya hizi kelele[emoji23][emoji23]
 
Bila shaka na nguruwe mtaanza kumtibu fraga baada ya hizi kelele[emoji23][emoji23]
Unabweka kama mbwa na kupiga kelele kama manyani mnalazimisha kuangalia mipira ya kimataifa wakati timulako liko local subirini
 
Daaahhh... Nyie watu yaani ni kama ile sehemu ya kutolea haja kubwa. Na mnachotoa kichwani mwenu ni haja hiyo hiyo kubwa. Fraga analipiwa kila kitu na Simba wewe unakuja sema ametekelezwa? Wewe ulipoachwa na Abdul akaacha kukuhudumia kipindi kile ndo ulitelekezwa.

 
We ni nguruwe zaidi ya mnyero, kwa mhindi hakuna cha taasisi wala mkataba, ndo maana mhindi alisema hicho unayoiita taasisi haina pesa bali yeye ndo ana pesa anaipa ruzuku hiyo taasisi ya nguruwe [emoji241] [emoji241]
 
Wewe huyo GSM Ni mdhamini tu kama walivyo fly Emirates pale Real Madrid,lakini mhindi Mudy anawamiriki nyie mikia
Wewe umefungua thread kishabiki, unaacha ya nyumbani kwako unakuja kufuatilia ya simba, hivi ulishaachaga kazi yako ile ya kubeba maboksi kwa mhindi
 
Wapi Fragrance alilalamika kutelekezwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…