Acha kusoma habari za mrengo mmoja, Korean war naijua vizuri kuliko hata wewe! China alisaidia uwingi wa Askari na siyo vifaa vya kisasa ....pale aliyetoa msaada wa maana na wenye impact ni USSR Kwanza kuhusu hydrogen bomb aliitumia wapi? Kwenye vita ipi? Kabla ya USA hajatumia atomic bomb kuna mtu alijua wana bomu la Aina ile? Lilionekana Kwa mara ya Kwanza vitani.
Kwa hiyo mimi na wewe hatuwezi jua Nani ana silaha gani Kwa uhakika mpaka waumane vitani