Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda
Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani.
Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na kumuondo Gadaff ila Kwa Iran wanajifanya hawataki kuvamia nchi za watu.
Iran kwenye vita alikuwa na Trump Card nayo ilikuwa mlango bahari wa Hormuz,Kwa kweli alikuwa ameishika Dunia Kwa kufunga huo mlango.
Ngoma imepinduka baada ya Trump kucheza highly calculated mission ya yeye kufunga kwenye mlango wa Hormuz na ku block all imports and exports za Iran.
Hili ni pigo,yaani pigo kubwa sana Kwa Iran. Trump na kuropoka kwake hapa amewashika kende Iran😁.
Na kibano kikiendelea ndani ya two weeks kutakuwa na kilio Cha kusaga meno Kwa Iran na China.
Je bila kuwa super power ni nchi gani inaweza kwenda na kutia kufuri kwenye mlango bahari na kusema no body in no body out kama sio USA?