Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

Alipigana wapi vita huyo China? Marekani miaka yote yupo bize na mavita vita dunia nzima wakati China yupo bize na reverse engineering.
Karibu kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.
Utajua mwanzo wa uwezo wa China kwa kuwa na akili huru bila ushabiki.
Na kwa kufuatilia habari toka vyanzo tofauti na uvipendavyo, hata vile vyanzo vinavyo weka habari usisozopenda kusikia.
From what I can see alot of people here in JF and elsewhere are stuck inside an echo chamber of their thoughts.
If I like USA or Russia, Iran or Israel. Then, I will only read news from that side and leaving stories from the other side of the world. Unfortunately this problem is well fortified by algorithms run by social media platforms.
They give you news feeds depending on your interest, or your behavior in social media.
 
Trump na shost zake ni wachumba tu mbéle ya Iran.
 
Attachments

  • Facebook(720p).mp4
    7.4 MB
Soma uondoe ujinga. Kasome Korean war 1950 China aliisaidia North Korea huku Marekani akiisaidia South Korea.
Licha ya hivyo usisahau kuwa anayemsaidia Iran kiintelijensia na picha za satellite ni China. China ndio nchi pekee yenye hydrogen bomb ambayo stronger than nuclear bomb.
Wewe endelea kukariri tu.
Acha kusoma habari za mrengo mmoja, Korean war naijua vizuri kuliko hata wewe! China alisaidia uwingi wa Askari na siyo vifaa vya kisasa ....pale aliyetoa msaada wa maana na wenye impact ni USSR Kwanza kuhusu hydrogen bomb aliitumia wapi? Kwenye vita ipi? Kabla ya USA hajatumia atomic bomb kuna mtu alijua wana bomu la Aina ile? Lilionekana Kwa mara ya Kwanza vitani.

Kwa hiyo mimi na wewe hatuwezi jua Nani ana silaha gani Kwa uhakika mpaka waumane vitani
 
Basi huna unalojua. China ilitoa SILAHA PAMOJA NA WATU. Na China ndio iliyosaidia pakubwa North Korea vita ya Korea kiasi USA alishambulia China kwa ndege vita ili kuivunja nguvu isiisaidie N.Korea.

Nani kakwambia hakuna aliyekua anajua kama USA ina nuclear bomb?? We umesoma wapi wewe!? Embu karudi kusoma.
Wataalam wa silaha wanathibitisha China ina hydrogen bomb sasa wewe kaa bisha. Hata Hypersonic missile za Iran kuna aliyedhani zitakua effective!? Mbona zilitumika papo hapo katika vita na zika prove efficiency.!?
 
Back
Top Bottom