Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

Ngoma imepinduka baada ya Trump kucheza highly calculated mission ya yeye kufunga kwenye mlango wa Hormuz na ku block all imports and exports za Iran.

Hili ni pigo,yaani pigo kubwa sana Kwa Iran. Trump na kuropoka kwake hapa amewashika kende Iran😁.
Propaganda mbona Fox wana report bado export zinatoka sababu Iran stock za mafuta hazikai nchi kavu ni offshore.

Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda

Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani.

Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na kumuondo Gadaff ila Kwa Iran wanajifanya hawataki kuvamia nchi za watu.

Iran kwenye vita alikuwa na Trump Card nayo ilikuwa mlango bahari wa Hormuz,Kwa kweli alikuwa ameishika Dunia Kwa kufunga huo mlango.

Na kibano kikiendelea ndani ya two weeks kutakuwa na kilio Cha kusaga meno Kwa Iran na China.

Je bila kuwa super power ni nchi gani inaweza kwenda na kutia kufuri kwenye mlango bahari na kusema no body in no body out kama sio USA?
Ukweli ni kwamba hata yeye anajua consequences za kufanya Hilo ni direct confrontation with china NM
 
Je bila kuwa super power ni nchi gani inaweza kwenda na kutia kufuri kwenye mlango bahari na kusema no body in no body out kama sio USA?
Punguzeni propaganda, USA ilitaka kuiondoa utawala wa Ayatollah na akasema atachagua mwenyewe uongozi mpya cha ajabu sahivi tunajadili nani ana control Hormuz??

Yaani kutoka kuiteka Tanzania tuanze kujadili nani ana control ziwa Victoria?? Huoni mpaka hapo war objectives za USA zimefeli?
 
Oky zimeferi so what??
 
Oky zimeferi so what??
Iran regime bado ipo madarakani na nuclear material (400kg) bado wanayo. Kwahiyo vita imepoteza muda na uchumi wa dunia ila Iran iko pale pale!!

Ndio maana NATO wamesusia vita ni useless. Imagine tunashangilia Hormuz blockage ilihali kila siku Iran inapitisha mamilion ya mapipa ya mafuta.
 
Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda

Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani.

Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na kumuondo Gadaff ila Kwa Iran wanajifanya hawataki kuvamia nchi za watu.

Iran kwenye vita alikuwa na Trump Card nayo ilikuwa mlango bahari wa Hormuz,Kwa kweli alikuwa ameishika Dunia Kwa kufunga huo mlango.

Ngoma imepinduka baada ya Trump kucheza highly calculated mission ya yeye kufunga kwenye mlango wa Hormuz na ku block all imports and exports za Iran.

Hili ni pigo,yaani pigo kubwa sana Kwa Iran. Trump na kuropoka kwake hapa amewashika kende Iran😁.

Na kibano kikiendelea ndani ya two weeks kutakuwa na kilio Cha kusaga meno Kwa Iran na China.

Je bila kuwa super power ni nchi gani inaweza kwenda na kutia kufuri kwenye mlango bahari na kusema no body in no body out kama sio USA?
Kweli Iran alicheza kadi ya Hormuz na bado kaishikilia na usa amecheza kete ya gulf of oman blockade na ameishikilia ila iran bado anayokadi nyingine hajacheza bado huku ulaya inatangaza in next 6 weeks ndege zitakuwa hazina mafuta iran wamebuild resistance economy nchi ambayo raia million 25 wamejitolea uhai kwenda kupambana na usa ikitokea ground invasion hii sio nchi ambayo watashindwa kuvumilia machungu ya blockade kwa wiki 3-6 au miezi 3 huku dunia ikitisika blockade itamshinda tu ni karata ambayo haina longterm strategy lengo lake hasa ni kuitumia kwa muda mfupi tu na kudeclare victory na kumpa usa exit strategy from the war ila akiextend ni aibu maana itafeli na muiran atawezesha kuzuia mafuta yasitoke kabisa middle east. Kwa hapo clock is ticking usa need to rush against time aondoke middle east at least with symbolic and political victory halafu anamuachia muiran na strategic victory case closed.
 
Kweli Iran alicheza kadi ya Hormuz na bado kaishikilia na usa amecheza kete ya gulf of oman blockade na ameishikilia ila iran bado anayokadi nyingine hajacheza bado huku ulaya inatangaza in next 6 weeks ndege zitakuwa hazina mafuta iran wamebuild resistance economy nchi ambayo raia million 25 wamejitolea uhai kwenda kupambana na usa ikitokea ground invasion hii sio nchi ambayo watashindwa kuvumilia machungu ya blockade kwa wiki 3-6 au miezi 3 huku dunia ikitisika blockade itamshinda tu ni karata ambayo haina longterm strategy lengo lake hasa ni kuitumia kwa muda mfupi tu na kudeclare victory na kumpa usa exit strategy from the war ila akiextend ni aibu maana itafeli na muiran atawezesha kuzuia mafuta yasitoke kabisa middle east. Kwa hapo clocknis ticking usa need to rush against time aondoke middle east at least with symbolic and political victory halafu anamuachia muiran na strategic victory case closed.
Iran kasha surrender amefungua mlango
 
Propaganda mbona Fox wana report bado export zinatoka sababu Iran stock za mafuta hazikai nchi kavu ni offshore.

Lakini hapo awali ulidanganya kwamba bado wanapitishia Strait of Hormuz wakati sio kweli, hakuna meli yao inayopita hapo sasa hivi.
 
Sio kweli, meli za India zilikua blocked leo
Leo wamefunga
Sio kweli, meli za India zilikua blocked leo
April 17 FM wa Iran alitangaza opening naona chess game linachezwa vizuri maana leo imetangazwa imefungwa tena ,usa kagoma kutoa blockade yake baada ya SOH kufunguliwa naona imepigwa pin tena na sasa completely nothing moves kasoro iran armed forces
 
Marekani hatamani kupigana na China Vita ya kiuchumi wala kijeshi iwe conventional war au nuclear war.
China Sasa amesha advance Sana.
Unafikiri usahihi(precision) wa makombora na drones za Iran kwenda kwenye kambi (base) za kivita za Marekani kule Uajemi unatokana na nini au nani?
Umiza kichwa usifanye ushabiki.
China anao mfumo wake wa Nuclear, GPS systems, mtambo wa kuangusha satellites au kuzizuia au kuzivuruga mawasiliano, n.k.
Kama Israel na Marekani wameshindwa kum-subdue Iran zaidi ya mwezi mzima, wameshindwa kuzuia mashambulizi yake, unafikiri wataweza kumzuia China au Russia?
Kwanini Trump anafanya ziara ya kwenda kuongea na raisi wa China hivi karibuni?
Marekani hana uwezo wa kupigana na China hana uwezo huo
 
Alipigana wapi vita huyo China? Marekani miaka yote yupo bize na mavita vita dunia nzima wakati China yupo bize na reverse engineering.
 
Tulisema hapa lile ilikua bonge la fix la Trump na wakazama Iran kichwa kichwa.
Pale wasahau tena,hamna China wala nani atagusa.
Kwasasa ni wao US na Israel wakileta ubishi.
 
Alipigana wapi vita huyo China? Marekani miaka yote yupo bize na mavita vita dunia nzima wakati China yupo bize na reverse engineering.
Soma uondoe ujinga. Kasome Korean war 1950 China aliisaidia North Korea huku Marekani akiisaidia South Korea.
Licha ya hivyo usisahau kuwa anayemsaidia Iran kiintelijensia na picha za satellite ni China. China ndio nchi pekee yenye hydrogen bomb ambayo stronger than nuclear bomb.
Wewe endelea kukariri tu.
 
Kauli ya NATO kwenda kwa Trump, imekaa kimashaka mashaka, ni kweli mataifa ya Ulaya yanalinda sheria au wanataka kupambania maslahi yao kwa kuogopa bei ya mafuta kupanda?
Huyo US analinda sheria gani hapo middle East?
 
Back
Top Bottom