Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda

Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani.

Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na kumuondo Gadaff ila Kwa Iran wanajifanya hawataki kuvamia nchi za watu.

Iran kwenye vita alikuwa na Trump Card nayo ilikuwa mlango bahari wa Hormuz,Kwa kweli alikuwa ameishika Dunia Kwa kufunga huo mlango.

Ngoma imepinduka baada ya Trump kucheza highly calculated mission ya yeye kufunga kwenye mlango wa Hormuz na ku block all imports and exports za Iran.

Hili ni pigo,yaani pigo kubwa sana Kwa Iran. Trump na kuropoka kwake hapa amewashika kende Iran😁.

Na kibano kikiendelea ndani ya two weeks kutakuwa na kilio Cha kusaga meno Kwa Iran na China.

Je bila kuwa super power ni nchi gani inaweza kwenda na kutia kufuri kwenye mlango bahari na kusema no body in no body out kama sio USA?
 
Tofauti ya Mataifa yenye Demokrasia na Taasisi imara, kila jambo huwa limekuwa pre-planned kila shambulio kila hatua Israel na Marekani waliyochukua Iran ilikuwa imeandaliwa miaka zaidi ya 20.

Ukitazama hii vita utaona ni Nchi tatu ndio zilikuwa na mpango na Utayari wa vita.
Israel, Iran na Marekani... Wengine wote vita imeshangaza na bahati nzuri imesimama
 
Je bila kuwa super power ni nchi gani inaweza kwenda na kutia kufuri kwenye mlango bahari na kusema no body in no body out kama sio USA?
Kuna wadudu wanaitwa weaver's ant au wanaitwa Sangara/Chungu hawa bwana wakikupandia cha kwanza wanachofanya ni kukung'ata tu mpaka useme basi sasa omba wasiingilie mpaka kwenye nyeti zako utapiga mwano, ndicho kinachomkuta Iran kawakanyaga maji moto.
 
Hii vita, kuna mtu ndio anayafutwa, ishu sio iran. America wanataka china aingie vitani, kwasababu anakuja kwa kasi sana kwenye uchumi. Ipa China yupo smart,
Marekani hatamani kupigana na China Vita ya kiuchumi wala kijeshi iwe conventional war au nuclear war.
China Sasa amesha advance Sana.
Unafikiri usahihi(precision) wa makombora na drones za Iran kwenda kwenye kambi (base) za kivita za Marekani kule Uajemi unatokana na nini au nani?
Umiza kichwa usifanye ushabiki.
China anao mfumo wake wa Nuclear, GPS systems, mtambo wa kuangusha satellites au kuzizuia au kuzivuruga mawasiliano, n.k.
Kama Israel na Marekani wameshindwa kum-subdue Iran zaidi ya mwezi mzima, wameshindwa kuzuia mashambulizi yake, unafikiri wataweza kumzuia China au Russia?
Kwanini Trump anafanya ziara ya kwenda kuongea na raisi wa China hivi karibuni?
 
Ziara ya Trump China ipo toka mwaka jana na shida ni kwamba hampendi kufuatilia mambo ila ni watu wa kudandia matukio tu.
 
Back
Top Bottom