Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I see...umenikumbusha karibuni niliambiwa hivo...'no publicity is bad publicity'
But I am still wondering hw can this help 'Yanga'
Kamanda uko...aise umepotea sana au kama kawaida yako ID kama 200...hahahah....tulindi kwenye topic....yanga mmechemka kitendo cha kumpiga refa hakikubaliki..poleni sana
Katika hili nakubali kutokubaliana na wengi! Hapa kunatakiwa uchunguzi wa kina mpaka kwa refa mwenyewe! Refa profesional kwa nini upigwe? Tukumbuke sasa hivi ligi iko ukingoni kwa marefa wetu anaweza kufanya chochote ili kuubeba upande mmoja. Pia tukumbuke kuwa unapokuwa uwanjani unakuwa na munkari au mzuka hivyo pindi ukiona dalili za upendeleo chochote chaweza kutokea!! Kama refa alikuwa na agenda yake ya siri huo ndo mshahara wake nyambaf!! Itakuwa njema kama naye atafungiwa!
Duh! Umenifungua macho kumbe jamaa ni kada wa mnyama?
Ni kama siamini kwa ninachokiona.....yanga ni vilaza wote
[video=youtube_share;TMY4QVjIsvM]http://youtu.be/TMY4QVjIsvM[/video]
Mazee I am always here! Ila kwa IDs tofauti tofauti ...sikufurahia kitendo cha Yanga kumtwanga refa, ila pia sijafurahia Kitendo cha Israel Mujuni kuwa mnazi wa Simba hataawapo uwanjani. Jamaa namjua tangia kale alikuwa akisema mechi za yangu watamtambua. Nadhani Cannavaro angeachiwa amtwange ngwala
Kwa taarifa tu, hao wendawazimu wako unaowasifia wamefungiwa.