Kitendo cha Wanachama wa Yanga SC Kumzomea Katibu Mkuu wa TFF ni Kukosa Heshima

Maneno mengi lakini pointi hakuna...Kama amezomewa anastahili kabisa...TFF ni wahuni na washenzi pamoja...hovyo kabisa
 
Maneno mengi lakini pointi hakuna...Kama amezomewa anastahili kabisa...TFF ni wahuni na washenzi pamoja...hovyo kabisa
Kuna neno hapo wasiojielewa linakuhusu vilivyo..!
 
Kile mtu akipandacho ndicho atakachovuna

Ukipanda ubaya utavuna ubaya, usitegemee kuvuna machungwa kutoka mti wa mchongoma

Hizo ni feedback kwa TFF, wajichunguze wanakosea wapi ilikupata uhalali kwa wanamichezo wote, hususani wapenzi wa soccer.
Hivi TFF wanaihujumu vipi Yanga ?
 
Write your reply...MPAKA SASA SIMBA NDIO CLUB PEKEE AFRICA YENYE VIPORO.... APO NDIO UTAJUA KWA NINI WAMEZOMEWA
Sorry hivi wakati wa maombolozo ya mwezi mzima ligi ilikuwa inaendelea?,kipolounachopigia kelele kilisababishwa na Utopolo kutokucheza na Simba kwa kisingizio Cha kusimamia kanuni,wakati UkWeli mchungu mmepewa muda ili muiandae timu,mna kocha mgeni Kuna deby,mnafeli Sana Utopolo fc.
 
Na wewe pia
Paragraph ya kwanza nimelezea Kitendo, kisha kukosa nidhamu, kisha Viongozi wache kujazwa upepo na kuendelea.

Ukiona huelewi jua lipo nje ya uwezo wako.
 
Paragraph ya kwanza nimelezea Kitendo, kisha kukosa nidhamu, kisha Viongozi wache kujazwa upepo na kuendelea.

Ukiona huelewi jua lipo nje ya uwezo wako.
Sawa...hata wewe pia
 
Hivi TFF wanaihujumu vipi Yanga ?

Hebu Rudia kusoma vizuri nilichoandika

Feedback ni notification or alert or alarm

Inanotify kitu gani ndio nikasema TFF wajichunguze au warekebishe.

Hao wote sio vichaa
 
Tatizo ni viongozi wa utopolo waliowaaminisha wapenzi wa utopolo kuwa Sarpong hafungi kwa sababu wanaonewa na tff.
Kwa kuwa wanachama nao ni aina hiyo hiyo mwalimu wao hata alithubutu kuwaita nyani,tegemea hayo kutokea tu
 
Lete hiyo video tuone alipozomewa maana si wengine hatuamini vitu kirahisi.
 
Wanataka TFF wawafungie mabao..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…