Kitendo cha Wanachama wa Yanga SC Kumzomea Katibu Mkuu wa TFF ni Kukosa Heshima

Udikiteta huwa hautatui matatizo

Feedback ni kuamsha, ni indicator ni ujumbe kwamba kuna mambo hayaendi vizuri . Sasa TFF IJITATHIMINI KWANINI UMATI UWAZOMEE.

TFF wanapaswa kulichukulia positively vinginevo hawatatengeza bali watahalibu zaidi.
Sio Umati ni Mashabiki wa UTOPOLO.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Si tulishakubaliana kwamba Utopolo ni nyani tu wanachoweza ni kuzomea zomea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…