Kitendo hiki cha kubana sekta binafsi kitacost sana serikali ya Rais Magufuli

Anthony_mesee

New Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
4
Reaction score
2
Msipende kufurahi kwakila ubaya wanaotendewa wapinzani kwani upinzani ukiwa hauna nguvu serikali inaweza kujiamulia chochote ifanye pasipo kuhofia lolote.

Kushinda njaa hakumfanyi mtu kuwa tajiri bali mipango mizuri, Nidhamu ya Pesa ikiambatana Utendaji mzuri ndio tu itakuvusha sehemu 1 hadi nyingine

Pia Msisahau kuwa Taifa imara linajengwa na Watu imara. Serikali inajengwa kwa kodi za wananchi hivo wananchi wakiwa hawana misingi mizuri ya kiuchumi ni hatari kwa serikali.

Ikumbukwe kuwa mfumo wa Ujamaa kamwe hauwez kufua Dafu ktk Ubepari imara wa Leo.

Kitaalamu kote Ulimwenguni ikiwemo Marekani na Ulaya Sekta binafs ndio inayoongoza kwa kutoa huduma nyiingi za kijamii pamoja na kuajiri idadi kubwa sana ya watu hivo kupelekea Huduma bora na muhimu kwa jamii. Inasaidia sana kuipunguzia Serikali mzigo wa kutoa Huduma kwa jamii.

Kitendo cha Serikali kubana Sekta binafsi kitapelekea mzigo Mkubwa saan hapo baadae.

Huwezi kuyaelewa haya ninayosema eti kwakua wewe ni mwanasayansi hapana. Haya wanayaelewa watu wenye elimu ya uchumi na mipango ya ujasiriamali tu.
 
Maeneo ya kambi ya 'fisi' ni ngumu kuelewa haya mambo
 
Mbaya zaidi kipindi hiki wakufunzi magwiji wa vyuo vikuu wamepata teuzi mbalimbali kwenye hii awamu.. wakiwemo magwiji wa uchumi.. mbona sasa figurez ziko negative kila mahali? ndo walichoenda kushauri? du
 
Hatukatai sekta binafsi ,tunakaa natunateendelea kukata sekta binafsi za watu mafisadi .wanaokwepa kodi ,,wajanja wajanja ,wanaotafuta faida yao nakikundi cha wachachebtuuu.

Hatuwezi kukubali sekta binafsi zawatu wanaolididimiza taifa.


Magufuli kaza kazaaaaaaa
 
Hujaitendea haki ID yako.
 
Tutajie sekta binafsi zilizobanwa ili tuweze kufikilia vzur maana harakaharaka naona magu anatafuta kodi yake kwenye sekta zote ktendo ambacho c kuwabana wanatakiwa walipe kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…