Anthony_mesee
New Member
- Aug 7, 2017
- 4
- 2
Msipende kufurahi kwakila ubaya wanaotendewa wapinzani kwani upinzani ukiwa hauna nguvu serikali inaweza kujiamulia chochote ifanye pasipo kuhofia lolote.
Kushinda njaa hakumfanyi mtu kuwa tajiri bali mipango mizuri, Nidhamu ya Pesa ikiambatana Utendaji mzuri ndio tu itakuvusha sehemu 1 hadi nyingine
Pia Msisahau kuwa Taifa imara linajengwa na Watu imara. Serikali inajengwa kwa kodi za wananchi hivo wananchi wakiwa hawana misingi mizuri ya kiuchumi ni hatari kwa serikali.
Ikumbukwe kuwa mfumo wa Ujamaa kamwe hauwez kufua Dafu ktk Ubepari imara wa Leo.
Kitaalamu kote Ulimwenguni ikiwemo Marekani na Ulaya Sekta binafs ndio inayoongoza kwa kutoa huduma nyiingi za kijamii pamoja na kuajiri idadi kubwa sana ya watu hivo kupelekea Huduma bora na muhimu kwa jamii. Inasaidia sana kuipunguzia Serikali mzigo wa kutoa Huduma kwa jamii.
Kitendo cha Serikali kubana Sekta binafsi kitapelekea mzigo Mkubwa saan hapo baadae.
Huwezi kuyaelewa haya ninayosema eti kwakua wewe ni mwanasayansi hapana. Haya wanayaelewa watu wenye elimu ya uchumi na mipango ya ujasiriamali tu.