Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

Labda anatetea kibarua chake baada ya Azam kutolewa mapema, anataka akiulizwa kwanini mmetolewa mapema aseme mbona. Timu fulani umetoka mapema
 
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo ina
Acheni upumbavu, jengeni uwanja wenu
 
WATU WANA MIAKA ZAIDI YA 85 HAWANA UWANJA SHEM.

ULIELETA UU UZI WEWE NI TAHIRAAAAA NAMBA 1
 
Kama ni kweli basi hili ni tatizo na Simba inabidi tuondokane na huu unyonge tunaweza kufanya kitu.
Hawa mamluki wa utopolo wakipata nafasi huwa wanaonesha chuki wazi wazi kwa sababu wengi wana roho za kimaskini na kichawi
..........Jengeni uwanja wenu
 
Huyo Popat kiaz mbatata sana, leo akae mbali na sisi. Ngoja niwatonye wahuni wa Keko wakang'oe hadi masinki ya vyoo na Bulb zote. Kheri yake tushinde mechi vinginevyo atajiingiza kwenye kimbembe cha mgogoro na wahuni wa kukodi. Football Wagners
Acheni kutisha watu Hakuna kitu mtamfanya. Jana Yanga wamezuiwa kufanya mazoezi asubuhi maana wamekodi Kwa ajili ya mechi pekee.
Hizi timu zenu kama zinataka Uhuru zijenge viwanja vyake Jangwani na Boko.
 
Nenda Italy ukaone timu za miaka zaidi ya hiyo zina hudumiwa na viwanja vya manispaa, huo ni mfano tu

Mifano mingi ipo huku afrika, marekani zote mbili na asia

Hatupingi maendeleo ila hilo ni jambo la kawaida!
Kama mnaona ni kawaida kama Milan Italy basi mkae kimya mwenye Mali akitaka kutumia chake.
 
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?

Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.

Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
ID ya ngapi hii!!! Wenye takwimu tafadhali.
 
Back
Top Bottom