Nenda Italy ukaone timu za miaka zaidi ya hiyo zina hudumiwa na viwanja vya manispaa, huo ni mfano tuTimu imeanzishwa 1936 mpaka leo haina uwanje wake, ni uMBUMBUMBU
Kesi ya simba unaitaja Yanga, yaani bila kuwataja Wananchi hamuoni raha?Tegeneza uwanja wenu na nyie.simba na Yanga mpk leo timu hazina viwanja.ni takataka tu
Kinachokuwasha hasa hasa ni nini?NAKAZIA
Matimu makubwa lakin hayana hata uwanja mdogo kama wa azam pamoja na kuwa na fan base kubwa hvyo
Hivi uwanja wa simba kule bunju hautumiki au badao sanaIna maana Simba hamna uwanja wenu mnategemea fadhila toka kwa Azam kweli!!!!!!?
Aibu yenu,
na utopolo aibu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo mnaomba uongoz hapo ili mshibishe matumbo yenu na siyo kuzikuza timuKinachokuwasha hasa hasa ni nini?
Acheni upumbavu, jengeni uwanja wenuKitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo ina
..........Jengeni uwanja wenuKama ni kweli basi hili ni tatizo na Simba inabidi tuondokane na huu unyonge tunaweza kufanya kitu.
Hawa mamluki wa utopolo wakipata nafasi huwa wanaonesha chuki wazi wazi kwa sababu wengi wana roho za kimaskini na kichawi
Lawama zimwendee nani?Timu imeanzishwa 1936 mpaka leo haina uwanje wake, ni uMBUMBUMBU
Acheni kutisha watu Hakuna kitu mtamfanya. Jana Yanga wamezuiwa kufanya mazoezi asubuhi maana wamekodi Kwa ajili ya mechi pekee.Huyo Popat kiaz mbatata sana, leo akae mbali na sisi. Ngoja niwatonye wahuni wa Keko wakang'oe hadi masinki ya vyoo na Bulb zote. Kheri yake tushinde mechi vinginevyo atajiingiza kwenye kimbembe cha mgogoro na wahuni wa kukodi. Football Wagners
Kama mnaona ni kawaida kama Milan Italy basi mkae kimya mwenye Mali akitaka kutumia chake.Nenda Italy ukaone timu za miaka zaidi ya hiyo zina hudumiwa na viwanja vya manispaa, huo ni mfano tu
Mifano mingi ipo huku afrika, marekani zote mbili na asia
Hatupingi maendeleo ila hilo ni jambo la kawaida!
Ukikodi ukumbi unatakiwa kufika Muda ulioandikwa kwenye mkataba siyo kabla.Kwani simba ni Team ya kwanza dunian kutokuwa na Uwanja.?
hamna fadhila wewe uwanja unakodiwa wanalipwaIna maana Simba hamna uwanja wenu mnategemea fadhila toka kwa Azam kweli!!!!!!?
Aibu yenu,
na utopolo aibu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yako ina uwanja?Timu imeanzishwa 1936 mpaka leo haina uwanje wake, ni uMBUMBUMBU
ID ya ngapi hii!!! Wenye takwimu tafadhali.Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.
Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA