Tetesi: Kitenge hana furaha Wasafi, ataka kutimkia EFM

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
 
Lilikuwa linafanya vizuri sana likitangaza kipindi na kile ki Kipanya mdogo! Nilikuwa nalifuatilia sana!
 
Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
Safari za nje za Kitenge huwa anakwenda kufanya nini?

Maana kina Salim Kikeke tulikuwa tunaona kila anapokwenda kweli ni official, haya huyu Kitenge naye?
 
Watangazaji wamekuwa kama machangudoa, mwenye kisu kikali ndo anamng'oa.. According to Ney wa Mitego
 
Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
Hela za DP zimekata?
 
Mwishoni kuhama hama kwake haitakuwa habari!
 
Back
Top Bottom