Tetesi: Kitenge hana furaha Wasafi, ataka kutimkia EFM

Tetesi: Kitenge hana furaha Wasafi, ataka kutimkia EFM

Hivi baba wa Taifa alivyosema ukionja nyama ya Mtu huwezi kuacha maana ni tamu Sana je alijuaje?Any way ni sawa na kuhama redio ukihama Moja huwezi acha kuhama labda uachane nahiyo kazi.
 
Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
Majizzo asikubali huu ujinga tena nitamshanga..
 
Tatizo wasafi mgt yake mmmmh wanajuwa wenyewe chawa tu
Majizo usimpokee huyu aende na tamaa zake huko kana ni furaha FM anasema yeye brand
 
Back
Top Bottom