Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Anahangaika sana...
Au kuna changamoto kwenye malipo labda Ndiomana kaona asepe!Anahangaika sana...
Sawa nimekuelewa vyemaHuyo ni Gigy Money wa kwenye vyombo vya habari mwaya, wala haishangazi.
Naona dj delvick naye kakimbiaWasafi mishahara imeanza kuyumba..
It's about time... Watakimbia wengi.
Majizzo asikubali huu ujinga tena nitamshanga..Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
Hawezi kukubali, amejifunza bila shaka.Majizzo asikubali huu ujinga tena nitamshanga..
Hata sahivi sio habari mbna.Mwishoni kuhama hama kwake haitakuwa habari!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni Gigy Money wa kwenye vyombo vya habari mwaya, wala haishangazi.
Watu mna manenoHivi hiyo kazi ya kubwabwaja kwenye radio ndiyo inamuweka mjini au ana issue nyingine anafanya?