Kitenge, Hando na Zembwela ni kama Zidane, Luis Figo na Ronaldo de Lima. Hakuna wa kuwagusa!

Yes Hando anakula sana tungi na ana kismati cha mademu. Zembwela anavuta sana bange. Ila Hando ni mmoja ya watangazaji very smart kuwai kutokea hapa bongo. Kwa kizazi cha sasa wakushindana nae ni Kipanya labda.
Madhaifu yao tuwaachie wao, kila mtu sna upande wa pili wa giza
 
Nimependa sana hapo
"Ni kupayuma tu na mizaha isiyokua na tija" [emoji28][emoji1787]
 
Wafatiliaji wa soka wanafahamu ule utatu ambao haujawai tokea mpaka leo pale Galacticos mpaka leo. Ilikuwa huku Ronaldo de Lima, kule kuna Luis Figo alafu kuna kipara mwenyewe Zinadine Zidane...
Hakuna kitu hapa,ni makelele tu,na comedy kibao,ishu wanazoongea ni bongo fleva,maisha ya wasanii,mabinti,na kuchambua mpira,hawana uwezo wa kudadavua vitu vizito kama tofauti ya global south na global north, vita ya Sudan,isues za Libya,Ukraine,geopolitical matters,

Wenye akili kubwa wapo Kenya,
 

Attachments

  • Screenshot_20230502-120640_2.jpg
    65.1 KB · Views: 6
Check mtangazaji anavyo agwa na kituo chake,bongo kuhama kituo kimoja kwenda kingine,ni kama uchawi vile na vita,mambo hovyo hovyo
 

Attachments

  • i6qBKaqenShCiFt9.mp4
    8.4 MB
Anaitwa charz yule Jamaa anajua sema anafanya Kazi na wapumbavu.
 
Masoud kipanya ndo mtangazaji namba moja anayejielewa kwa vipindi vya Ahsubui Hawa wengine wajifunze kupitia kwa Masoud kwanza. Clouds wanajua Mambo ta kuzingatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…